Kinachojiri kutoka Millenium Tower DSM, Kutangazwa mgombea Urais wa UKAWA

Mimi sielewi hebu tueleze japo kidogo kwa mifano
Zitto alifukuzwa na chadema kwa usaliti,unafki,Kafulila alikuwa chadema alikuwa hivo hivo akajishtukia akakimbia nccr,alifukuzwa nccr kama siyo huruma za mwenyekiti asingekuwa mbunge maana ubunge wake ulikuwa wa mahakama mpaka aliposamehewa na nccr,machali ndo hivo kila siku anasingiziwa anaenda ACT,inshort ndo hivo
 
kigoma wanaishi hao watu wawili tu ???
 
jamani vipiiii!!!! mkuu molemo, yericko vipiii! au wameenda kufturu ..... leteni updates
 
Mhh, hapa kuna jambo. Uwezi kuitisha waandishi wakati bado majadiliano yanaendelea.... time 'll tell
 
Back
Top Bottom