Kinachojengwa Mbezi mwisho ni kuchezea kodi za Watanzania

Wanajua wanachofanya,wanajenga mazingira ya kupiga hela hapo,
Nchi hii matumizi ya hovyo ni mengi sana.
Dodoma manispaa ilijenga stend ya salasala jamatini kwa pesa nyingi sana,huku wakijua,hilo eneo ni LA Railway.
Wakajenga na kukarabati stend kuu kwa pesa kibao,na Railway,wakawaambia,waache,wakaperekana mpaka mahakami,
Manispaa wakaendelea kujenga tu.
Railway wakashinda kesi,eneo lipo kwa ajiri ya SGR,stend ikabomolewa,walioidhinisha hizi pesa ilibidi wafungwe.
Mkulu atakiwi kulalamika tu,haya malalmiko yanakuwa kama kiki tu,kama ilivyokuwa ishu ya Mo,
Atuoneshe hao waliotaka kupiga,200M,

Sent using Jamii Forums mobile app
Wanaogopa wakijenga vizuri kazi zitaisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kaka Mkubwa nafikiri watu wanatoa mawazo kwa lengo la kuboresha ili kodi yao itumike vizuri. Nikiri siyo mtaalamu wa ujenzi, lakini nikitembea kwenye maneno yako yaliyojaa uelewa wa fani husika naomba msaada wa haya:
Barabara iliyojengwa sambamba na mwendo kasi umri wake kabla ya matengenezo ni miaka mingapi? Pale Kimara imeisha anza kutengeneza mabonde, vipi muda wa kuitengeneza umetimia

Pale Mbezi, Mungu huwa akiruhusu mvua inyeeshee mazao ya wana wake maji kwa historia yamekuwa yakipita juu ya lile daraja. Vipi daraja hilo kuvunjwa na kujengwa la muda ambalo lipo chini ya lile la zamani na ndani ya njia ya maji kimejaa kifusi cha kutosha. Je, kitaalamu mvua za masika zitakapoanza kunyeesha daraja hilo la muda hapo Mbezi litaweza kuvusha watu na magari kwa muda wote? Embu tupe ushauri wako kitaalamu.

Haya sisi tunayaona kwa macho ya kawaida si ya kitaalamu. Yapo mengi, labda utusaidiye kwa jicho la kitaalamu tuwezwe kuelewa.
Sisi watz ujuaji umetujaa sana, tunabaki kulaumu vitu vingine ambavyo hatuna ujuzi navyo,
Barabara inapokua inadesigniwa kuna factors wataalamu hua wanaangalia, mfano idadi ya magari (traffic), population , economy, political n.k

Pia barabara hua inakua na life span, lazima wapange kwamba itatumika miaka 10,30 au 50 na kuendelea then kutakua na maintenance,
Mtu anakujenga kujenga hoja as if aliwahi kujenga barabara ambayo ilidumu milele

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kaka Mkubwa nafikiri watu wanatoa mawazo kwa lengo la kuboresha ili kodi yao itumike vizuri. Nikiri siyo mtaalamu wa ujenzi, lakini nikitembea kwenye maneno yako yaliyojaa uelewa wa fani husika naomba msaada wa haya:
Barabara iliyojengwa sambamba na mwendo kasi umri wake kabla ya matengenezo ni miaka mingapi? Pale Kimara imeisha anza kutengeneza mabonde, vipi muda wa kuitengeneza umetimia

Pale Mbezi, Mungu huwa akiruhusu mvua inyeeshee mazao ya wana wake maji kwa historia yamekuwa yakipita juu ya lile daraja. Vipi daraja hilo kuvunjwa na kujengwa la muda ambalo lipo chini ya lile la zamani na ndani ya njia ya maji kimejaa kifusi cha kutosha. Je, kitaalamu mvua za masika zitakapoanza kunyeesha daraja hilo la muda hapo Mbezi litaweza kuvusha watu na magari kwa muda wote? Embu tupe ushauri wako kitaalamu.

Haya sisi tunayaona kwa macho ya kawaida si ya kitaalamu. Yapo mengi, labda utusaidiye kwa jicho la kitaalamu tuwezwe kuelewa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nashukuru mkuu, kuna kazi nafanya ila nitarudi kwako mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu una utaalam wowote katika civil engineering?
Unajua sheria ya barabara?
Hata mwendokasi wakati inajengwa,kulikua na wataalam elekezi feki kama wewe wengi tu
Sasa kwani huo Mwendokasi si ni matatizo lukuki tu ama wewe huyaoni?
 
Nami kwenye chapisho langu nimesema aina ya......
Siyo mtaalamu wa ujenzi, ila kama Mzalendo tu wa nchi hii, nimetoa maoni kulingana na kile kinachoonekana kwa macho.

Sasa nyiye wataalamu ndo jukumu lenu kuboresha au kutujibu majibu yaliyojaa kiburi cha utaalamu bila kujali kama tunayoyaona yakirekebishwa yanaweza kusaidia au la.

Jumamosi ya trh 30 March 2019 foleni iliyokuwa ukanda huo hawezi kusimuliwa kwa urahisi. Lakini chanzo kinajulikana -daraja la muda pale Mbezi na hapo mvua hazijaanza. Je, zikianza rasimi itakuwaje.

Pita angalia ile barabara iliyo na daraja la kupita kwa chini, udongo unaporomoka, je itakuwa imara bila kuwekewa rentention wall, kuna sehemu imebidi kuweka mifuko iliyojazwa sijui ni kifusi au ni nini sijui.

Hiyo barabara inayopita kule sokoni-wembamba ule ni kwa faidi yetu kiuchumi au ndo tutaanza kupanua tena baada ya miaka 5 ijayo.

Tunatoa mawazo hayo kwa kuona kodi yetu inavyotumika na tunatamani itumike vizuri zaidi ili tuwe na urahisi wa kuwahi kufika kwenye shughuli zetu za uzalishaji NA ISIONEKANE KAMA TUNASHINDANI KWA ELIMU AU UTAALAMU.
Ile siyo lami mkuu, aisee atleast tuwe tunauliza basi kwa watu, we shuka gari muulize mtu muhusika kama ile ni lami?
Ile ni CRR ambayo inahitaji maji mengi sana, hakuna sehemu ambayo amewekwa lami

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe mchango wako ni nini kwenye fani yako ktk taifa hili? Ebu taja tuone kama uko perfect eneo lako. Au umesomea ukosoaji ktk fani sio zako?
Hata mimi naomba nijue hawa wanaoponda engineers wa TanRoads wao wako kwenye fani gani na imefanya kitu gani kilicho perfect hapa Tanzania. Maoni ya watu humu yananifanya nijiuliza hawa geniuses ndio hawa tunapishana mitaani humu Tz?
 
kilicho ondoa foleni pale sio mzunguko bali ni watukutumia njia mbadala!
unakumbuka mzunguko wa pale kariakoo? vipi kuhusu mzunguko wa kigogo na m.city mbona bado kuna foleni??
mzunguko haujawahi kua dawa ya foleni zaidi watanufaikia mafundi garage maana watu ni full kupasuana

Sent using Jamii Forums mobile app
Kabisaa...ubongo hakuna foleni lakini sio salama ..
 
Kwanza naomba kusema wazi naunga mkono wazo la upanuzi wa barabara ya Kimara Kibaha.

Pili nailaumu sana tena sana Tanroad na wizara ya ujenzi kwa kuchezea kodi za wananchi kwani kila baada ya miaka 10 miundombinu hufumuliwa na kujengwa upya.

Kinachojengwa pale Mbezi Mwisho hakitaishi zaidi ya miaka 10 kila kitu kitabomolewa na kujengwa upya.

Mbezi Mwisho ni makutano ya pande mbili za Dar es Salaam

Mbezi mwisho ni mji unaokua kwa kasi kuliko mji wowote hapa Dar.

Mbezi mwisho ni lango la kuingia na kutoka Dar.

Kwanini Tanroad hamtaki kufikiria design nzuri walau kwa miaka 50.

Hamjifunzi mkoloni alivyoweka mita 240 upana wa barabara toka Kimara hadi Kibaha.

Hivyo viraundi abauti mnavyovijemga hapo Mbezi ni kupoteza kodi za wananchi.

TANROAD INAHITAJI NEW BRAIN

Uzi huu tutakuja kuukumbuka siku wakianza kubomoa wanachokijenga
Sasa na wewe ndo umeandika nini sasa, unadhani Tanzania yote watu hupita hapo mbezi mwisho au sisi wote tunatumia ubongo wako kuwaza!!

Eleza nini kinafanyika, makosa yako wapi, nini kilitakiwa kufanyika na pia weka japo kapicha. Ikibidi weka pia plan ya hapo na itakaa kwa muda gani.

Nitashangaa mtu yupo Rombo hajawahi kanyanga Dar hata siku moja ataanza kusapoti huu uzi wakati hajui plan ya hiyo njia, mleta uzi wala sio injinia na hata kagari hana.
 
Mataa ni hovyo kabisa yanaleta shida kila sehemu, hii ya ubungo imetufungua macho yatupasa kutazama upya mataa yote nchini kwenye crossways yaondolewe ijengwe mizunguko
Moro town kulikuwa hakuna ujinga km huo wa taa za barabarani, ni round-about tu na hakuna foleni kivile. Majuzi wameka taa za barabarani karibu na msamvu primary near machijioni mjimpya, zinaleta foleni sana!
 
Upo sahihi kabisa mkuu, nilipita hiyo sehemu nikaona upuuzi ule, yale mataa ni bora wangeyaweka kwenye makutano na reli kunusuru ajali za reli
 
Sasa na wewe ndo umeandika nini sasa, unadhani Tanzania yote watu hupita hapo mbezi mwisho au sisi wote tunatumia ubongo wako kuwaza!!

Eleza nini kinafanyika, makosa yako wapi, nini kilitakiwa kufanyika na pia weka japo kapicha. Ikibidi weka pia plan ya hapo na itakaa kwa muda gani.

Nitashangaa mtu yupo Rombo hajawahi kanyanga Dar hata siku moja ataanza kusapoti huu uzi wakati hajui plan ya hiyo njia, mleta uzi wala sio injinia na hata kagari hana.
Wewe ndio mtu pekee ambaye hujanielewa.. soma comment kwanza kabla ya kuandika
 
Ujumbe mzuri sana kwa mh Mfugale
Kwanza naomba kusema wazi naunga mkono wazo la upanuzi wa barabara ya Kimara Kibaha.

Pili nailaumu sana tena sana Tanroad na wizara ya ujenzi kwa kuchezea kodi za wananchi kwani kila baada ya miaka 10 miundombinu hufumuliwa na kujengwa upya.

Kinachojengwa pale Mbezi Mwisho hakitaishi zaidi ya miaka 10 kila kitu kitabomolewa na kujengwa upya.

Mbezi Mwisho ni makutano ya pande mbili za Dar es Salaam

Mbezi mwisho ni mji unaokua kwa kasi kuliko mji wowote hapa Dar.

Mbezi mwisho ni lango la kuingia na kutoka Dar.

Kwanini Tanroad hamtaki kufikiria design nzuri walau kwa miaka 50.

Hamjifunzi mkoloni alivyoweka mita 240 upana wa barabara toka Kimara hadi Kibaha.

Hivyo viraundi abauti mnavyovijemga hapo Mbezi ni kupoteza kodi za wananchi.

TANROAD INAHITAJI NEW BRAIN

Uzi huu tutakuja kuukumbuka siku wakianza kubomoa wanachokijenga

In God we trust
 
Back
Top Bottom