Kinachofanya vijana wengi wa Tanzania wasifanikiwe hasa kwenye uchumi wao ni ubinafsi

mr pipa

JF-Expert Member
Jul 26, 2021
2,330
4,855
vijana wengi au watu wengi katika hii nchi yetu ni wabinafsi.

Hii imeanzia ngazi ya familia, na ndiyo mana wengi wetu tunamchukia mtu wako wa jirani mwenye mafanikio wewe Shedi umesoma darasa moja na Ally.

Leo Ally akifanikiwa wewe Shed utajenga chuki na Ally kwa ubinafsi wake atajenga ukubwa na Shedi atatumia uwezo wake kumpinga Ally na hii vita itapigwa chini kwa chini ila mkikutana mtajifanya hakuna tofauti.

Nina maana hii ukiona gari inatembea jua yafuatayo yamefanyika:

Kuna fundi aliyebuni engine, kuna mtu kabuni body, kuna mtu kabuni tairi na vingine vingi lakini hawa wote wapo ndani ya mrengo mmoja.

Hata leo ukiona kampuni imesimama jua ndani yake kuna watu ambao walishirikiana mmoja alitoa wazo mmoja alifanya utafiti wa wazo na mwingine alitoa fedha ya kuwezesha wazo litokee.

VIJANA MKITOA UBINAFI MTAFANIKIWA KWA HARAKA shilingi 200 ukiichanga kwa watu laki mbili ni milion 40 ambapo baadhi yetu mtu hadi anakufa haishiki, Producer + Msanii = Wimbo

Walimu + Wanafunzi = Shule
 
Uko vizuri vijana wanachuki Sana kiukweli usipofanya mambo yako kimya kimya ngumu kusogea
 
Kuendekeza wanawake
hiyo inakuja baada ya kukosa ubize wa sehem husika na mawazo mbadala kijana anakuwa hana maarifa nini afanye na hiyo tabia ya kupenda wanawake itaingia kwenye ubinafsi
 
Back
Top Bottom