kina dada warembo!!kazi kwenu,mmnetupiwa lawama!!

Kama ukimwi unasabishwa na urembo, mie hawanipati......Nina Mzio (aleji) na warembo kupita kiasi..
 
mngekuwa mnatembea na chelewa ya kufungulia haja ndogo itoke maana grisi ingeziba.

Au mngekuwa na mkono wa kulia mnene kama nguzo ya umeme
kahufikirii ile shunghuli haisumbui una achia usingizini.
 
I would understand if the 'deed' was to be done on 'the face or that tantalizing figure' but since it is done under clothes tena sometimes in darkness ambako hata hiyo beauty haionekanagi then blaming beauty doesnt make sense (at leas to me) since the beauty is in the eyes of the beholder..............and when it comes to that 'chamber' every woman is beautiful aisee............ as long as she has one.

Mngeblame hulka, tamaa zenu pengine na pombe zinazowatoa akili
 
Kama ukimwi unasabishwa na urembo, mie hawanipati......Nina Mzio (aleji) na warembo kupita kiasi..

Mtambuzi na yule uliekua umempakata pale....mmhh ngoja nisimwage mtama kwenye kuku wengi nikaharibu!
 
Last edited by a moderator:
Warembo mnawasingizia m wanaume zipu haifungi ikakaza 24hours, ni tamaa za mtu ndo zinamuongoza.sababu wanawake wote ni warembo wanatofautiana matunzo tu
 
Men are always victims of women; kila wanachofanya wanakuwa wameponzwa na wanawake.
Kaunga! hiyo ni kweli kabisa. Hebu kama unayo Biblia tafuta ishu hizi, halafu uone ukweli wake. Kama hautakubalina nami, rudi na hoja pingamizi. Hoja hizo ni:

1. Kisa cha Adamu na Hawa (kula tunda na mti wa katikati).
2. Kisa cha Ushauri wa Mke wa Ayoub (Mke wa Ayub alimshauri nini mumewe nini).
3. Kisa cha Samson na Delila. Je! Delila alikuwa nani?
4. Kisa cha Mabinti wa Luttu (Watoto wa Lutu walimtenda nini Baba yao).
5. Kisa cha Luttu na Mkewe.

Nk, nk, nk

Ndimi Bazazi!
 
Last edited by a moderator:
kama urembo ni sababu kuu ya kueneza ukimwi ni ajabu sana kusikia hivi. ninachoelewa ni tamaa za mtu wa si urembo matamanio ukiyashinda basi ndio mwanzo wakupunguza ukimwi
 
Hiyo ni kweli kuna kijana mmoja alikuwa anajidai kwa kusema wanawake wazuri wote kuanzia kazini kwake, mtaani kwake , mitaani kwa rafiki zake, kijijini kwao wote kawala.
 
kama urembo ni sababu kuu ya kueneza ukimwi ni ajabu sana kusikia hivi. ninachoelewa ni tamaa za mtu wa si urembo matamanio ukiyashinda basi ndio mwanzo wakupunguza ukimwi

hizo siasa za wasira kaka, wanawake warembo wanatongozwa kwa siku mara 20, na wenyewe wana matamanio na matatizo hivyo lazima wananasika. we angalia wazee wote wenye pesa wana vitoto vodogo vidogo design ya lulu wanakula navyo maraha tu. uko dunia gani wewe
 
Back
Top Bottom