kina dada warembo!!kazi kwenu,mmnetupiwa lawama!!

Zamaulid

JF-Expert Member
May 25, 2009
18,653
13,474
kina dada warembo!!kazi kwenu,mmnetupiwa lawama!!mmezidi urembo!
ATT00001.jpg
 
Men are always victims of women; kila wanachofanya wanakuwa wameponzwa na wanawake. Too bad hawatupi credit wanapofanikiwa!
 
Men are always victims of women; kila wanachofanya wanakuwa wameponzwa na wanawake. Too bad hawatupi credit wanapofanikiwa!

Kaunga kungekuwa hakuna wanawake tungekuwa matajiri.

M
 
Last edited by a moderator:
Pole, mie mbona ananipa credit kila anapofanikiwa.

Eiyer hakupi?

Men are always victims of women; kila wanachofanya wanakuwa wameponzwa na wanawake. Too bad hawatupi credit wanapofanikiwa!
 
Last edited by a moderator:
Motive ingekuwa nini??

Mngebeba na mimba au mngeatamia?

Au mngechavushana kwa njia ya upepo kama mahindi?

Au mngechavushana kwa wadudu kama maua?

Wanchekesha: sosi FF

Kaunga kungekuwa hakuna wanawake tungekuwa matajiri.

M
 
Last edited by a moderator:
men do not fail to resist beautiful women, they fail to resist women.

tukinyoa nywele wote watatongoza tu aliependeza na kipara, hasa mimi.
 
Men are always victims of women; kila wanachofanya wanakuwa wameponzwa na wanawake. Too bad hawatupi credit wanapofanikiwa!

Kwani si huwa kuna msemo wanasema "Behind every successful man there is a wise woman" ... kwani na hiyo si ni credit?
 
Motive ingekuwa nini??

Mngebeba na mimba au mngeatamia?

Au mngechavushana kwa njia ya upepo kama mahindi?

Au mngechavushana kwa wadudu kama maua?

Wanchekesha: sosi FF

tungekuwa tunajigawanya kama minyoo.
 
Men are always victims of women; kila wanachofanya wanakuwa wameponzwa na wanawake. Too bad hawatupi credit wanapofanikiwa!

Kaunga hujawahi kusikia "behind any succesful man there's a woman" au huendagi kwenye sherehe za harusi/arusi?
 
Last edited by a moderator:
Motive ingekuwa nini??

Mngebeba na mimba au mngeatamia?

Au mngechavushana kwa njia ya upepo kama mahindi?

Au mngechavushana kwa wadudu kama maua?

Wanchekesha: sosi FF

Wanchekesha wewe -- uliofanya thinking out of the box na kufikiria dunia ingekuwaje kama wanawake wasingekuwepo!
 
Motive ingekuwa nini??

Mngebeba na mimba au mngeatamia?

Au mngechavushana kwa njia ya upepo kama mahindi?

Au mngechavushana kwa wadudu kama maua?

Wanchekesha: sosi FF
kungekuwa hakuna ku do
 
Back
Top Bottom