Kina Cheupe/ White wataaalam wa chips

Nazjaz

JF-Expert Member
Jan 20, 2011
7,684
8,833
Watu wanaoitwa Cheupe au White wameumbwa na kipaji cha ajabu cha kutengeneza chips.
Tafiti nawe utagundua
 
Msinikumbushe chewupe, zamani late 90's pale anga za faya kwa nyuma, alikuwepu chewupe maarufu sana na chips zake zilikuwa bomba mbaya. I remember my kaka Lusako Kamwela, I love u
 
Back
Top Bottom