Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 92,252
- 113,647
Halafu huyu mama Wema eti anajigamba na hilo umbo lake!!
Anasema ana miaka 57 lakini umbo kama la binti/ mtoto mwenye miaka 12!
Halafu mama mtu kugombana na marafiki wa mwanae ndo tabia gani hiyo?
Maturity level yake iko chini sana. Anaweza kuwa na miaka 57, 58, au 59 lakini akili yake ni yaka kabinti kenye umri wa miaka 15.