Nifah
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 32,104
- 67,946
- Thread starter
- #661
Wakati wanaandikishiana contract ulikuwepo, nyinyi ndio mnakazi yakutoa false witness mana mwenyewe kakwambia zake ww unang'ang'ania si zake, lol.
Hata km kaiza jina huoni km anaelewa thamani yake means jina lake ni brand. Hebu ww jaribu kuuza jana lako la Evelyn Salt. Hi hii hiii km huyojinunua mwenye
Hahahahaaa wewe mwanamke sikuwezi, sio kwa vichambo hivi!!!!Ww umelipa?? Wakati hata maji hujalipa ha ha ha ha. Kodi unadaiwa kazi ya kuwa na majina fake ili usengenye watu