Kimenuka huko Afrika Kusini

Kati ya weusi mazuzu ni wasauzi hivi wanadeal na kuwafukuza waafrica wenzao, wanawakwepa wazungu.

Wajaribu kuleta hizi habari viunga vya Petori waone
Wakirudi mazimbu na dakawa, tunao watajura kuja huku wasirudi nyuma walikotoa.
 
Swali kwa nini weusi wasikae kwenye nchi zao wakimbilie huko? Wazungu wa huko ni wakazi halali.

Weusi piganieni mazingira mazuri ya maisha kwenye nchi zenu. Msisubiri watu wengine waandae maisha yao kwa vizazi vyao mkimbilie huko.
Unatokea nchi gani?
Kupambana na maisha ni mindset kila mtu anafanya anavyoona kufrahisha moyo wake.
Kwa Tz sehemu moja tu yenye Fursa ni Dar tu ukibisha shauri yako
 
Uzuri wamesema kuwa hawawataki illegal migrants, vibaka wa bongo mliopo south ondokeni kwa amani la sivyo mtakufa kama kuku huko.
 
Kati ya weusi mazuzu ni wasauzi hivi wanadeal na kuwafukuza waafrica wenzao, wanawakwepa wazungu.

Wajaribu kuleta hizi habari viunga vya Petori waone
Sasa hao wazungu si ni raia tayari wa Afrika Kusini, tena hawana shida na ajira ambazo sisi weusi tunaenda kuzifuata huko, ukiondoa ubaguzi wa hao wazungu wana mchango mkubwa kwenye utamaduni na uchumi wa Afrika kusini kuliko wageni weusi wanaohamia
 
Ubaguzi ni kama vile ni asili yetu binadamu.

Mkiwa na rangi moja mtabaguana kwa utaifa, mkiwa taifa moja mtabaguana kwa Jinsia, mkifanana jinsia mtabaguana kwa dini, mkiwa Dini moja kipato kitaleta ubaguzi basi tu ili mradi mbaguane.
 
Back
Top Bottom