Kimani Maruge ni mwanafunzi mkongwe kuliko wote amefariki dunia

MaxShimba

JF-Expert Member
Apr 11, 2008
35,772
4,054
Kweli elimu haina mwisho.

Kimani Maruge, alikuwa ni mwanafunzi mkongwe kuliko pengine wote aliyekuwa akihudhuria masomo ya elimu ya msingi (front) amefariki dunia.

He attended class at Kapkenduiywo Primary School in Langas, Eldoret, 300km west of the Kenyan capital Nairobi, in this October 6, 2006 file photo.

Maruge, a farmer celebrated in Kenya as the world's oldest school pupil, has died in the east African country aged 90, local media said on August 14, 2009. REUTERS/Thomas Mukoya/Files. Alifariki dunia Ijumaa.


mzee.jpg
 
R.I.P babu, Alituonyesha kuwa what we beleive in, we can achieve. He went to school so that he can learn how to read his bible.

ps,
He was an IDP before he moved to a home in Nairobi, so sad.
RIP
 
R.I.P Babu Maruge. Elimu ni bahari, unaona mwanzo wake lakini huoni mwisho wake. Just imagine!
 
R I P and hongera kwa kuto kata tamaa. You are the best example kwa wengi.

RIP
 
R I P Kimani Maruge, umevitalize maisha yetu sana kwa kuwa mfano wa elimu haina mwisho
 
He went to school so that he can learn how to read his bible.

That's it? You sure?

So what did he do, get outta class when they were teaching Math and Science? Cause Science and his bible don't mix, you know that, right? Source please.
 
That's it? You sure?

So what did he do, get outta class when they were teaching Math and Science? Cause Science and his bible don't mix, you know that, right? Source please.

Nakumbuka alisema anataka ajue kusoma ili asome biblia yake kwani alitaka kujua wazungu walivyomdanganya kupitia biblia. Hii niliipata ktk mahojiano yake ya awali wakati akitaka kwenda kujiandikisha shule. nimesahau source.
 
Pia alitaka kufahamu hesabu maana alianza kuhisi wanamfanyia usanii kwenye mafao yake ya uzeeni.

Hakika mzee alikuwa anafahamu umuhimu wa elimu, utaona pia kwamba alijiunga na shule baada ya serikali kuanza kutoa elimu ya msingi bure.
 
Hivi kama angemaliza darasa lake la nane,kisha achaguliwe kwenda form one sijui ingekuwaje. Very interesting. RIP mzee wetu
 
:cool:Despite of being oldest pupil probably ever known, we can learn a lot from him.
We have a lot of illiterate young guys in our society. Its time now to motivate
them on the important of going to school.
May the soul of Kimami rest in peace in heaven. Amen.

HE WHO KNOWS HE KNOWS NOT HE KNOWS BUT HE WHO KNOWS HE KNOWS HE KNOWS NOT
 
Nakumbuka alisema anataka ajue kusoma ili asome biblia yake kwani alitaka kujua wazungu walivyomdanganya kupitia biblia. Hii niliipata ktk mahojiano yake ya awali wakati akitaka kwenda kujiandikisha shule. nimesahau source.

Picha inaonyesha jamaa anaandika na kitabu ni kama cha Jiografia. Muongo weye. lol
 
Back
Top Bottom