Kilimo cha zao la Ufuta: Masoko, Mbinu na Ushauri Toka kwa Wadau

mi nataka kufaham kwa shina moja libabeba wastani wa pods ngapi wakuu

Inategemea lakini ni umakini wa mpandaji kawaida mbegu 4,5 mpaaka 6 akiweka nyingi unaota kama mchicha baadae unaingia gharama kubwa ya kupunguza idadi ya miche.
 
Inategemea lakini ni umakini wa mpandaji kawaida mbegu 4,5 mpaaka 6 akiweka nyingi unaota kama mchicha baadae unaingia gharama kubwa ya kupunguza idadi ya miche.
Ok nimekuelewa kwene upandaji,ila mi sifahamu kwene shina moja la ufuta linabeba wastani wa pods ngapi. mfano kuna baadhi zina hadi watoto(pods) 300 wakati zingine kama 50 sa wastani hapo ni pods ngapi mkuu.
 
Okay nimekuelewa kwene upandaji,ila mi sifahamu kwene shina moja la ufuta linabeba wastani wa pods ngapi. mfano kuna baadhi zina hadi watoto(pods) 300 wakati zingine kama 50 sa wastani hapo ni pods ngapi mkuu.

Kaka let me check aisee sikujua kama swali lako zito namna hiyoo.
 
Msimu wa mavuno umewadia na mvua ndo zinazidi kupamba moto inakuwa taabu kidogo.
 
Naulizia bei wakuu ipoje saiv.na mnunuzi mkuu kwa dar nani

Huku jamaa wameanzia kununua 2200/kg soko bado halija changanya kwa maana ya kwamba wanunuzi bado ni wachache sokoni. Bei Inategemewa kupanda kwa maeneo ya mbeya, Rukwa na Katavi hadi kufikia Tsh3000/kg mnamo katikati ya mwezi wa tano.

N.B:KAMA MWENENDO WA SHILINGI KUPOROMOKA KAMA ILIVYO SASA UTAENDELEA HIVI HIVI TUSITEGEMEE NEEMA KUBWA SANA. Kwa Dar exporters ni wengi wachache ninaowafahamu ni Patel na MO.
 
Huku jamaa wameanzia kununua 2200/kg soko bado halija changanya kwa maana ya kwamba wanunuzi bado ni wachache sokoni. Bei Inategemewa kupanda kwa maeneo ya mbeya, Rukwa na Katavi hadi kufikia Tsh3000/kg mnamo katikati ya mwezi wa tano.

N.B: KAMA MWENENDO WA SHILINGI KUPOROMOKA KAMA ILIVYO SASA UTAENDELEA HIVI HIVI TUSITEGEMEE NEEMA KUBWA SANA. Kwa Dar exporters ni wengi wachache ninaowafahamu ni Patel na MO.

Wewe umelimia wap?
 
Nimelima bonde la ziwa Rukwa upande wa momba na sehemu nyingne ni bonde la ziwa tanganyika wanaita Kirando

Inaelekea huko hakuna mvua kama huku. Hapa ndo mvua zimepamba moto, waliowahi kupanda sijui wapo kwenye hali gani sasa.
 
Kwa waliowai kuuza dar tusaidieni ni mo enteprises ofisi yake ipo wapi na ununuaji wake ukoje? Je, ananunua mzigo na cash papo au mambo ya kesho?
 
Back
Top Bottom