Muinjilisti
Senior Member
- Dec 20, 2010
- 105
- 52
Pia kwa mliovuna, mavuno yakoje kwa ujumla, ni gunia ngapi za kg 100 kwa eka?
Pia kwa mliovuna, mavuno yakoje kwa ujumla, ni gunia ngapi za kg 100 kwa eka?
Wadau hatimaye nimevuna rasmi heka 30 zangu..lindi,matokeo uamekua tofauti kabisa pamoja na jitihada zote 1.5tons badala ya 11tons..bei zinazidi kushuka,matokeo mabovu yamechangiwa na jua kali.Aluta continua.
Kwahyo kulima ufuta unatakiwa uwe risk taker
Hivi gharama za heka moja approx inafika sh ngapi?Aisee!! Mi nimepanda 14 march kisarawe. Sahv ndo napalilia.
Heka au eka? kumbuka heka 1 ni sawa na ekari 2.5Kwa wastani unaweza pata kilo 400-600 kwa heka, inategemea na matunzo, ukishindwa kuhudumia vizuri hata kufikisha kilo 300 ni mtihani.
Heka au eka? kumbuka heka 1 ni sawa na ekari 2.5