Mchochezi
JF-Expert Member
- Feb 29, 2012
- 10,416
- 6,579
Jana kulifanyika usaili wa kutafuta wadada watakaohudumu katika mabasi ya kampuni ya mabasi ya Kilimanjaro.
Nafasi zilikuwa 30 tu lakini waliofika katika usaili huo ni zaidi ya 200. Wengi wao wakiwa ni wahitimu wa vyuo vikuu.
Hongereni wadada wote mliojitokeza katika interview hakika mmethubutu.