Kilichotokea Arusha katika picha

ajakwambia kua ameziweka kwa lengo la kutatua matatizo tuliyonayo bali kaziweka ili kutujuza kinachoendelea arusha

Usipoteze muda kumjibu huyo kiazi......ameamua kutuchafulia hali ya hewa,mpotezeee. Ukiona tu post inatoka kwa Mzee2011 irukee fastaaa,unaweza kutapika bure.
 
Kuna mtu kasema hakimu amekataa ku saini jamaa atoke hadi jumatatu lakini sijui ni ya tarehe gani.

Tupeni habari za uhakika basi mbona mnatuweka roho juu...presha inapanda na kushuka. Watu wa Arusha vipi?????tunasubiri kwa hamu zoooote.
 
Crashwise ongeza picha mkuu. Nasikia mvua inanyesha sana huko watu hawajakimbia kweli?
 
Inanikumbusha tarehe 5/2/2011 siku ya mazishi ya wapigania uhuru arusha waliouawa na polisi
 
TAARIFA ZINAZONIFIKIA HAPA DAWATINI NI KWAMBA LEMA HAJATOKA KWA KUWA HAKIMU KAGOMA KUSAIN AKIDAI KUWA AKISAI ATAKUWA KASAINI KWA SHINIKIZO.......crashwise kuna maelezo mengine?
 
mvua ni kubwa sana hapa arusha NMC hapawezi kukalika sijui kama kuna mahema.
 
dah kwa habari zilizopo pilato kagoma kusaini Remove oder ya kwamba akaifanya hivyo itakuwa ni kwa shinikizo
 
dah kwa habari zilizopo pilato kagoma kusaini Remove oder ya kwamba akaifanya hivyo itakuwa ni kwa shinikizo
 
Ukombozi ni MCHAKATO.
Mungu ibariki Tanzania, Mungu wabariki CDM wote..
Laana ikawe juu ya mafisadi wote na vibaraka wao. AMEN!
 
Back
Top Bottom