Kilichotokea Arusha katika picha

mvua kubwa inanyesha!!!!!!
Ni ishara njema,Ausha is still going to be blessed no matter what,wakazibe juu labda.Tanzania njema inawezekana kabisa tukiwaondoa mafisadi.

Maana nasikia serikali ya magamba inawabana wana wa Arusha kuwakomoa kwa kuichagua chadema.

Upuuzi kama huo kwenye uchumi huu ni blunder.

Na Arusha will make them pay,and eventually the whole country.

Niliwaambia kina Ritz hawaijui Arusha wakabisha.Haya sasa.
 
Mwanadamu anapojitambua daima hubadilika haraka.......................Big Up Arusha
 
Ile technology ya babu zetu ya ungo ingekuwa inafunction sasa hivi ningeungana na wana Arusha kwani ninatamani sana ningekuwepo kuweka historia. Utasimulia nini vizazi vijavyo kama umekosa kumuona Steve Biko akitoka gerezani, utasimulia nini kama hujaimba ''hakunaga mbunge kama Lema''
 
kamanda mbowe yupo juu anahutubia kwa utulivu sana watu wanamsikiliza kwa makini sana
 
mvua kubwa inanyesha!!!!!!
ishara ya ukombozi
mkuu bora ipiga maana haka kajoto kalikuwa kanatukoseha amani kabisa sasa hali ya hewa imetulia tuwasikiliza vizuri wapiganaji
peopleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee powerrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr hureeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee....
sasa ya ukombozi ni sasa unasubiri nini wewe ... amina
 
mvuua tena, na Mh Lema katoka? basi hiyo ni neema maana hata tulikuwepo miaka ile ya 1990 wakati tunampokea mandele tulilowana sana popote alipotembelea, kuanzania dar,Moro na Iringa
 
Asante sana mkuu......tunasubiri habari zaidi,kila la kheri.
 
Back
Top Bottom