Nadhani issue ya kujadili hapa ni namna gani Tanznaia kama nchi na wananchi watafaidika na huo mkutano wa sullivan. We going to get/learn anything ? Yes, they will come and go, what next after that ?
Lakini Wabongo jamani nyie kiboko!
Yaani kila mtu anaponda JK kupiga picha na Boyz to men kisha hao hao Wabongo wajuzi wa kusaga na meno tunawaona wao wakipigana vikumbo kupata picha wakiwa na JK, mijino yote njeee hali ndio wa kwanza kusema JK hafai.
<br />Mimi sijui tatizo la wale wanaomsakama Jk linatokana na nini?Rais huyu ni social na anapenda watu wa aina zote.Ni mpenzi wa michezo na muziki na hafichi.Kama kupiga picha na Boyz 11 men kunawatia wivu na hivyo kuanza chuki zenu ...shauri yenu maana hamna ajenda ya maana.Anajitahidi kutafuta wawekezaji na anlifanyia kazi taifa hili kwa juhudi kubwa.Watanzania ni maneno maneno tu...na kejeli zisizokuwa na maana.Uswahili...tu hamna lolote.
Huku nyumbani serikali yake ikiwa imewatelekeza wafanyakazi wa Jumuiya.....
Zaidi ya winter shopping kingine ni hiki hapa. This is where our Humble President feel more at home. Tazama tabasamu lake hilo utafikiri yeye ndiye meneja wa hao BOYZ II MEN
Acheni wivu wa kike!!!
<br />
<br />