Kilichojiri viwanja vya NMC na hatma ya Jimbo la Arusha Mjini

NDUGU SAFI SANA TUPE MAMBO YALIYOJILI HAPO NMC ILI TUWAPE SALAM MAGAMBA KUWA A .TOWN NI KAMBI YA CDM WAKAFIE MBALI KABISA HAO MAGAMBA NADHANI LEO WATAPIMA NGUVU YA CDM A.TOWN NA WAANGALIE UPEPO WENYEWEEEEEEEEEEEEE:kev:
 
Watu ni wengi mmo bado wanafurika wananchi wana hasira hatuelewi kitakachotokea ntawajulisha
 
Kwanini wafuasi wengi wa CDM kwenye posts zao lazima wamtaje yesu????...hiki ni chama cha siasa au ni kikundi cha watu wa dini flan?

YESU KRISTO TUMAINI LA KWELI,ishara ya kiama tumaini lako kwa nani weye
 
Kwanini wafuasi wengi wa CDM kwenye posts zao lazima wamtaje yesu????...hiki ni chama cha siasa au ni kikundi cha watu wa dini flan?

Mbona CCM ni chama cha watu wenye fedha zao na chama cha kiislaamu watu hatusemi inakuwaje?
 
Crashwise vipi mkuu bado unaset mitambo? PJ uko wapi?

Wewe usiogope utapata video, picha kama kawa bado matukio hayaanza hivyo ni updatea za kawaida tu mkuu. Jamaa wa Arusha wapo full magazine, ni mwendo wa kukamua tu.
 
Tunatumaini kila jambo litaenda vyema thea twatataka kila jambo lende kwa amani na utulivu mkubwa ili kuwaonyesha hao wenzetu kua tunaweza.
Arusha the struggle z on!!!!
 
Kwanini wafuasi wengi wa CDM kwenye posts zao lazima wamtaje yesu????...hiki ni chama cha siasa au ni kikundi cha watu wa dini flan?

mbona kawaida...na tena moshi tena ndio salamu....Yesu Mwana wa Maria....ata mtoto mdogo utamckia...peooooooplesssss!!!!!!washa...
fireburn....
 
Back
Top Bottom