Kilichojiri viwanja vya NMC na hatma ya Jimbo la Arusha Mjini

Mungu wa anga, bahari, nchi kavu na nyota cdm inatafuta amani Mungu wangu!
 
Thread za kanumba zimenipotezea muda nimerudi jukwaa la nyumbani . Mtu amefia kwenye malove amekua issue badala ya wale wanaofia nchi Kama Wana CDM mungu kibariki Chama changu nakipenda sana
 
Wengine tupo mbali na Arusha. Tunategemea sana updates zenu. Endeleeni kutujuza.
Pamoja.
 
Raia ndo wanasogea eneo la tukio bila ya shaka muda si mrefu mtapata taarifa ya kile kinachojili hv punde.
 
Mi nataka kuambiwa tayari kuna watu takribani wa2 au wa3 wameanza kujongea. Watu wana hasira nahiyo makitu ya maonevu.
 
Wakuu nipo imara kabisa maeneo ya clock tower Arusha nikijiandaa kwa hamu kwenda kwenye mkutano Wa wazalendo Wa ukweli Wa nchi (Chadema) ninawaahidi kuwa update Vitu vitakavyokuwa vinatokea na hata ku record some audio and video clips kwa makamanda wote ambao hampo Arusha - (Peoples .......)
Mkuu jitahidi utimize ahadi yako kwani tunangojea kwa hamu kujua nini kinachoendelea huko.
 
una jamaa katutumia sms toka viwanja vya tukio anasema jukwaa hata halijamalizika kujengwa, yaani kuna UMATI wa KUFA CCM. inatia moyo sana
 
Wakuu nipo imara kabisa maeneo ya clock tower Arusha nikijiandaa kwa hamu kwenda kwenye mkutano Wa wazalendo Wa ukweli Wa nchi (Chadema) ninawaahidi kuwa update Vitu vitakavyokuwa vinatokea na hata ku record some audio and video clips kwa makamanda wote ambao hampo Arusha - (Peoples .......)

thanx! tupe updates mkuu pasipo kusita!
 
Kwani Chadema walijua Kanumba atakufa?au unazungumzia maombolezo ya kufa kwa YESU?

Kanumba kufa isiwe kigezo cha chadema kushindwa kufanya mambo yake. after all ni mtanzania wa kawaida na hapo mtaa wa pili kwetu kunamsiba!
 
Tupo kwenye maombolezo jamani. Mambo ya mikutano tena yanatoka wapi?

Acha Bange wewe, kazi ya Mungu haina makosa na hakuna ajuae kama angefariki. nyie MAGAMBA mlimtumia sana Sheikh Yahya na Manyaunyau kubashiri vifo vya wenzetu then wengine mliwaroga kabisa. mkutano upo!
 
niko mitaa ya sekei naona kundi la wadada wenye skafu za cdm wanapanda daladala.
 
Back
Top Bottom