yantuzu
Senior Member
- Dec 10, 2011
- 115
- 16
Mwaka huu hizi tuzo zimekuwa powa sana, wanamuziki wengi na wadau waliopata tuzo kwa namna moja au nyingine walistahili sana maana wamefanya kitu kwa mwaka uliopita.
1.Sijaridhika na mwimbaji bora wa kike kuwa Lady Jay-de, sijaona kitu alichofanya kiukweli kwa mwaka jana, Linah alikuwa best choice kwa upande wangu.
2. Waandaaji wa music kuna kichwa Marco Chali, huyu jamaa ni mkali sana ila hajawahi kupata tuzo hata moja, sina uhakika kama Maneck anamfikia Marco Chal.
Wapiga kura wakati mwingine hatuangalii kazi ya mtu bali tunafuata Ushabiki na hicho kinawakatisha tamaa watu wenye bidii zao.
Ni maoni yangu tu wadau, msijenge bifu.