Kile kilikuwa kifo fake nini?

Malila

JF-Expert Member
Dec 22, 2007
5,149
4,675
Kuna watu wawili jana wameleta taarifa za kifo cha mjumbe mwenzetu,watu tukatuma hadi habari kwa marafiki zetu,kumbe fake? Naomba wakuu mtujulishe ilikuwa fake kweli au kuna linaloendelea?
 
Mazee, una maanisha huyu? Mbona yupo live ? Hawa watoto wanachezea mtandao utawaweza? Sijui MODS wamemchukulia hatua gani yule alieleta ile taarifa..alitakiwa afutiwe ID na kupewa server ban.
 
naona thread hii ya waarabu wa pemba!

Jana jioni hapa ilikuwa mshikemshike,kuendelea kumtaja mtu aliyekoswakoswa na kifo, naona si vizuri ila MOD walitakiwa kabla/baada ya kuiondoa ile thread wangetujulisha wadau.
 
Nilisikitika sana habari hizo kwa zaidi ya wiki 2 sasa kuna watu wanaandika uzushi na vijimambo kuhusu mimi sijui nia yao nini halafu wanatumia majina bandia na ya ajabu ajabu tu mfano yule wa jana alitumia jina bootytalk - sijui modereta alikubalije kusajili jina hilo na hata ref alizotoa ni za majina ya watu ninaowajua katika mitandao mmoja nilimkosoa kuhusu kuleta software zake za kuuza hapa tanzania akanza matusi kule ethinktank inawezekana ndio akaja sasa na strategy hiyo baada ya kushindwa kujibu maswali yangu
 
Pole sana SHY ila ndo dunia ilivyo.
 
If they can't face you,you are far above them! they are coward.You know what keep on with normal life as if nothing happened.Otherwise these issue may hurt your feelings and will jeorpadize all other aspects of your life.

Long live Shy, Yes I pray so that you may have abundantly life.
 
Jamani msifanye utani na kifo mwenzenu sijaweza kula sawasawa kipindi hiki chote.
 
pamoja na kusingiziwa kifo, lakini humu JF watu almost wote wanatumia ID ambazo sio majina yao halisi kwa sababu moja ama nyingine, kitendo cha huyo bwana kukuweka hadharani jina lako halisi kwa kweli ni kitu kibaya sana na hii inaweza hata kuogopa kumwaga madata humu JF kwa kuogopa kufahamika, POLE SANA KAMANDA
 
Back
Top Bottom