Kilango vs Muhongo: Ni kanuni zipi ziliongoza maamuzi ya Rais?

Mama kilango ametumika kama mfano .Mrs Malecela ex prime minister wife fukuza this mean yoyote anafukuzwa
 
Hiyo mijadala fanyieni huko Lumumba. Mwacheni Magu afanye anavyoona; at least kaonesha njia....
He who went to sleep with an itching anus will wake up with smelling fingers.

Katafakari hiyo Nigerian proverb utaelewa.
 
Tatizo lililopo mnajenga hoja kwa kutumia hisia.

Hiyo message ya kumtonya mtendaji mkuu wa wakala wa vipimo uliiona?

Hata Waziri Mkuu hakuamini maneno ya Mkuu wa Wakala wa Vipimo ndio maana akamuagiza ayaweke kwenye official document yakiambatana na vielelezo.

Je, unafahamu huyo Wakala aliweka vielelezo gani ambavyo havikusaidia katika hoja zake?

Wekeni kwanza vielelezo na siyo kujadili hisia.

Kwakukusaidia zaidi, zoezi la kutathmini idadi ya watumishi hewa halikuwa la kushtukiza. Wakuu wa Mikoa walipewa wiki mbili.
Prof. Muhongo alikiri kuandika sms, story iliandikwa gazeti LA Mtanzania. Acha ubishi wa kijinga
 
Sakata hili linataka utulivu ktk kulijadili.
Najiuliza bila kupata majibu, kama ni kuwajibishwa kwa udanganyifu wa Wafanyakazi hewa ni maafisa walioenda kufanya uhakiki wa watumishi au aliyeletewa taarifa ya uhakiki huo ?.
 
Wadau naomba tujadili bila ya jazba!

Naomba tuangazie kanuni anazotumia mh. Rais katika kusimamia misingi ya uadilifu na utendaji uliotukuka!

Hebu na tujikumbushe matukio haya mawili!

Serikali ilipanga zoezi la kushtukiza kutaka kutathmini idadi ya watumishi hewa, kwa bahati mbaya Mkuu wa mkoa akatoa taarifa za kupotosha na hivyo Mkuu wake wa kazi akatengeneza team kubaini ukweli na ilipogundulika amedanganya au kupotosha umma hapakuwa na simile ameondoka!

Miezi kadhaa nyuma, waziri Mkuu alifanya zoezi la aina kama hiyo kutaka kujua jinsi bandari inavyoleta hasara na sehemu kuu ni juu ya udhibiti wa bomba la mafuta!

Kwa bahati mbaya kuna waziri akamtonya mtendaji mkuu wa wakala wa vipimo afungue mtambo ambao ndio uliokuwa ukilengwa ktk ziara nzima!

Waziri alichofanya ni kupindisha ukweli na hivyo yeye pia hakuwa muaminifu kwa serikali! Akaachwa na hakuwajibishwa, labda alichpwa viboko vi5 hatuwezi jua lkn kesi yako haikwenda kwenye media!

Natamani mtu atueleze vigezo vya uadilifu kwa kesi 1 na 2 na hapa kwanini huyu wa kesi ya kwanza hakupewa hata sekunde na huyu waziri yeye apete tu!
Hivi ni kweli waziri ni muadilifu?

Kweli waziri wa aina hii ni wa kumuaminika?

Labda wenye ujuzi tuleteeni tathmini juu ya principles zinazo guide maamuzi ya baba mwenye nyumba!
Kilango alikataliwana wananchi wa Same kwa sababu hawezi kazi.. Mlitegemea nini?
 
Logically uko sawa!
Lakini ukweli ni kuwa taarifa za SMS hazikufuatiwa na uchunguzi, hii ya Mkuu wa mkoa iliundiwa tume kwa hiyo kuna bias toka ktk ufuatiliaji wa maadili na utendaji wao!
Je kuna uchunguzi uliofanyika dhidi ya Muhongo?
Issue sio majungu dhidi ya president, Ila ni kutaka kumfanya ajikumbushe kuwa fair! Kuwa na standards tunapoamua mambo, hii ya case ya mtu A iwe na appeal lkn similar case kwa B iwe haina msamaha na judgement ni instant tena through media!

Hivi kila uchunguzi ni lazima ujue kama ulifanyika? Hata huo wa watumishi hewa wa Shinyanga si umeambiwa tu kwamba ulikuwepo, kama usingeambiwa hungejua. Hii level ya presidency ni level ya juu sana na utendaji wake si rahisi hivyo kuujua, ni yale tu tunayoambiwa ndiyo tunakuja hapa kujaribu kuyajadiri, ambayo ni madogo sana.
 
Kweli hakutangaza kwa umma!
Lakini just kwa fikra tu, do you think issue ya Muhongo ilitengenezewa uchunguzi wowote?

Hakuna ulazima wa kuutangazia umma kama kulifanyika uchunguzi au la..!!!
Kwani zinapofanyika chunguzi mbalimbali unatangaziwa?

Kweli anaweza kuwa alisingiziwa, je umeshawahi kumsikia Muhongo akijisafisha kuwa Mkuu wa wakala wa vipimo alidanganya?

Inawezekana kuwa Mkuu alidanganya, ndio maana PM alimwambia hiyo msg aiweke kwenye official document, je unadhani mkuu alifanya hivyo?
Ulipata kujiuliza kwanini alitakiwa kifanya hivyo? Halafu ulitaka Muhongo ajisafishe kitu gani?

Je, kwanini waziri asichukue hatua kwa mtumishi aliyechini ya ofisi yake ambaye alimsingizia uongo mbele ya boss wake?

Sijui kwanini watanzania sisi ni wavivu kufikiria kiasi hiki,
Hizo tuhuma zilipelekwa ngazi ya juu (PM) kuliko yeye Muhongo, Na tayari alishatoa maelekezo kwa yule wakala nini cha kufanya ili kuthibitisha maelezo yake ili hatua stahili zichukuliwe, hapo ulitaka afanye nini? @Faizafox anawaulizaga watu sampuli yako, Huko shuleni mlienda kusomea ujinga?

Kama hatutotaka kumuhukumu Muhongo kwa kukosa maadili kwa kuvujisha habari ambazo ni classified information, then tumuhukumu kwa uzembe wa kushindwa kumuwajibisha subordinate aliyesema uongo mbele ya waziri Mkuu!
Kulikoni kumtetea mtu ambaye hata hakujisafisha, ungeenda kucheck game ya Madrid!

Hayo ni mawazo yako kwa kadiri ya upeo wako wa kufikiri, hukatazwi unaweza kufikiri tena zaidi ya hapo, ila unachotakiwa kujua ni kwamba awamu hii mtaendelea kukosa hoja za kuhoji sana tu,
Ni vyema ukaitambua sasa rasmi le falsafa ya Mheshimiwa Rais. Aliposema HAPA KAZI TU, alimaanisha kazi kweli kweli.
 
Muhongo si alikuwa anatoa maelezo tofauti na raisi kuhusu TANESCO, mhongo anasema ivunjwevunjwe raisi anasema iwe na intact, mbona hajamfukuza
 
Tatizo lililopo mnajenga hoja kwa kutumia hisia.

Hiyo message ya kumtonya mtendaji mkuu wa wakala wa vipimo uliiona?

Hata Waziri Mkuu hakuamini maneno ya Mkuu wa Wakala wa Vipimo ndio maana akamuagiza ayaweke kwenye official document yakiambatana na vielelezo.

Je, unafahamu huyo Wakala aliweka vielelezo gani ambavyo havikusaidia katika hoja zake?

Wekeni kwanza vielelezo na siyo kujadili hisia.

Kwakukusaidia zaidi, zoezi la kutathmini idadi ya watumishi hewa halikuwa la kushtukiza. Wakuu wa Mikoa walipewa wiki mbili.
Wanahamisha magoli kila siku, linapofanywa jambo fulani wanakuja na maswali yao, eti mbona hajafanya jambo lile na lile. Hii mada imekosa mashiko, waziri hawezi kuwajibishwa kwa ushahidi wa sms. Mkuu wa mkoa kawajibishwa kwa ushahidi halisi (tangible evidence).
 
Hakuna ulazima wa kuutangazia umma kama kulifanyika uchunguzi au la..!!!
Kwani zinapofanyika chunguzi mbalimbali unatangaziwa?

Inawezekana kuwa Mkuu alidanganya, ndio maana PM alimwambia hiyo msg aiweke kwenye official document, je unadhani mkuu alifanya hivyo?
Ulipata kujiuliza kwanini alitakiwa kifanya hivyo? Halafu ulitaka Muhongo ajisafishe kitu gani?

Sijui kwanini watanzania sisi ni wavivu kufikiria kiasi hiki,
Hizo tuhuma zilipelekwa ngazi ya juu (PM) kuliko yeye Muhongo, Na tayari alishatoa maelekezo kwa yule wakala nini cha kufanya ili kuthibitisha maelezo yake ili hatua stahili zichukuliwe, hapo ulitaka afanye nini? @Faizafox anawaulizaga watu sampuli yako, Huko shuleni mlienda kusomea ujinga?

Hayo ni mawazo yako kwa kadiri ya upeo wako wa kufikiri, hukatazwi unaweza kufikiri tena zaidi ya hapo, ila unachotakiwa kujua ni kwamba awamu hii mtaendelea kukosa hoja za kuhoji sana tu,
Ni vyema ukaitambua sasa rasmi le falsafa ya Mheshimiwa Rais. Aliposema HAPA KAZI TU, alimaanisha kazi kweli kweli.[/QUOTikikataHoja zako sahihi!
Lkn point A. Kuna haja ya viongozi wa umma wanapofanyiwa maamuzi process ikawa wazi! Kwa mfano wote tuko kimya kuwa kilango alitoa data zisizo rasmi kwa kuwa report mbadala ni ya jopo la uchunguzi! Hata kama ni uongo lkn tunajua kuwa report ya Mkuu wa mkoa ilipotiwa na uchunguzi uliofanyika! Sio lazima kutangaza uchunguzi Ila ni jambo sahihi zaidi! Kwa stahili ya serikali hii laiti kama wangefanya uchunguzi wasingekaa kimya, sote tunajua! Mimi naondoa hiyo possibility!
Yes PM anaweza kuwa kesi ipo ktk level yake, lkn kwa PM maneno ya Mkuu wa mamlaka hayakuwa ya kushtaki Bali ni ya utetezi so anaweza asiyafuatilie sana kwa kuwa kwake ni utetezi dhaifu hivyo anajua hayata mpa excuse mshtakiwa! Kwa Muhongo yeye kwake ni shutuma kwa hiyo maamuzi ya mwisho juu ya ujumbe wa SMS ni muhimu kwa kuwa yanampotezea credibility!
Je wewe hushangazwi na uchunguzi wa SMS kwa serikali unatumia miezi yote hii?
Bado sijaelewa falsafa ya kazi tu!
Najua kazi bila brain ni sawa na upunda tu!
Unaweza kubeba mizigo lkn kama hamna brain tutaendelea kufanya kazi tu milele, na tija haitokuwepo!
Tuweke records labda siku moja hii mijadala inaweza kuwa sehemu ya mjadala!
 
Back
Top Bottom