Nyakarungu
JF-Expert Member
- May 1, 2011
- 472
- 375
Ndugu zangu,
Ninaumia sana kila ninapoiona nchi hii yenye neema sana, inavyopukutishwa na wageni nyuma ya watawala wetu.
Ninapoutazama mfumo wa utawala wetu usio na fursa ya wananchi kuamua juu ya rasirimali zao, jamii ziishizo maeneo yenye utajiri ndizo zisizo na matumaini kabisa.
juzi nimekua eneo la mkoa wa Geita, nimewaona wananchi wake wasivyo na matumani licha ya utajiri mkubwa unaotajwa ndani na nje ya nchi.
Nikaikumbuka serengeti nyumbani kwetu, nikainama na kusema, ''jamii inanidai kuikomboa japo kwa kuwapa elimu ya uelewa'' ambayo itatumika kufanya mabadiliko tuyaotayo.
kwa mwonekao kama huu kila kona ya nchi yangu, mimi napatwa na psychologicall depression kubwa kwa stress.
tuna kazi kubwa sana ya kuibadilisha nchi yetu kwa kujikana nafsi zetu wenyewe.