Kila Nikiwatajia Kabila Wananikimbia

...kudanganya ndio unaharibu kabisaaaa... kwani huko 'Lyamba la Mfipa' hakuna mabinti wazuri uoe ili kudumisha mila na desturi?

tena nasikia palewana mchanganyiko na wamanyema kabisa kutoka bana congo ya nini kujipa pressure
 
Naombeni ushauri kutokana na tatizo linalonikumba ktk haya mambo ya kimahusiano. Ni muda mrefu nimekuwa nikikimbiwa na wapenzi, na hii hutokea kila ninapowatajia KABILA langu. Mpenzi wangu wa mwisho niliamua kumueleza nia yangu ya kwenda kujitambulisha kwao, lakini alikataa kwa sababu kuwa hawezi kuolewa na mimi, hata kwao watamshangaa kuolewa na mtu kutoka kabila linalosifika kwa uchawi(sina uhakika na hili) na uhusiano uliishia hapo. Kutokana na umri kuanza kunitupa mkono, nimekuja kwa staili ya kuoa na nimepata binti mmoja ambae bado hajapata details zangu. Kutokana na experience niliyopata kutoka kwa wapenzi wa zamani, nafikiria kumdanganya kuhusu kabila langu ili naye asije akanibwaga.
Naombeni ushauri nikaoe kijijini mtu wa kabila langu au niendele e na mpango wa kumdanganya huyu kuhusu kabila langu!
Huyo mdanganye tuu,akikuuliza kabila mwambie kabila lako Obama,hachomoki hata kwa dawa maana anajua atakuja kuzaa kama sio raisi basi hata mbunge!!
 
Naombeni ushauri kutokana na tatizo linalonikumba ktk haya mambo ya kimahusiano. Ni muda mrefu nimekuwa nikikimbiwa na wapenzi, na hii hutokea kila ninapowatajia KABILA langu. Mpenzi wangu wa mwisho niliamua kumueleza nia yangu ya kwenda kujitambulisha kwao, lakini alikataa kwa sababu kuwa hawezi kuolewa na mimi, hata kwao watamshangaa kuolewa na mtu kutoka kabila linalosifika kwa uchawi(sina uhakika na hili) na uhusiano uliishia hapo. Kutokana na umri kuanza kunitupa mkono, nimekuja kwa staili ya kuoa na nimepata binti mmoja ambae bado hajapata details zangu. Kutokana na experience niliyopata kutoka kwa wapenzi wa zamani, nafikiria kumdanganya kuhusu kabila langu ili naye asije akanibwaga.
Naombeni ushauri nikaoe kijijini mtu wa kabila langu au niendelee na mpango wa kumdanganya huyu kuhusu kabila langu!

Ndugu yangu mbona hata picha yako inatisha maana umefanana na wachawi.
 
Hivi Pinda, Kimiti, Mzindakaya na wengine walipataje wapenzi??? Wewe Katavi una yako aisee... watu hawaangalii makabila these days, unless uwe hujasoma!!
 
Hivi Pinda, Kimiti, Mzindakaya na wengine walipataje wapenzi??? Wewe Katavi una yako aisee... watu hawaangalii makabila these days, unless uwe hujasoma!!

Mkuu niko nawe, analenga watu wa kundi linalofanana kimawazo, kifikra na si ajabu kielimu. Hapa si bure inawezekana yeye na hao anaofukuzia fall in the same class.
 
je umeshaoa au bado unatafuta.Aliyekushauri uende kwenye nyumba za ibada anakutakia mema .utampata Mungu kule na baraka za kumwaga na mafanikio yako utaendelea kuwaombea wote waliokukataa ili waendelee kuishi ili waone jinsi Mungu atakavyokubariki ili wapate pia mafundisho na hata kizazi kijacho kielewe kuwa mapenzi ama mke/mume ni zawadi kutoka Mbinguni na sio mali inatyopatikana kule Ufipani au unyamwezini,upare/uchagani au uhayani.Pole sana na hongera sana kama umeoa tayari.
 
Huyo mdanganye tuu,akikuuliza kabila mwambie kabila lako Obama,hachomoki hata kwa dawa maana anajua atakuja kuzaa kama sio raisi basi hata mbunge!!
Mmmh!! Kumbe kuna kabila Obama.....!!!
 
je umeshaoa au bado unatafuta.Aliyekushauri uende kwenye nyumba za ibada anakutakia mema .utampata Mungu kule na baraka za kumwaga na mafanikio yako utaendelea kuwaombea wote waliokukataa ili waendelee kuishi ili waone jinsi Mungu atakavyokubariki ili wapate pia mafundisho na hata kizazi kijacho kielewe kuwa mapenzi ama mke/mume ni zawadi kutoka Mbinguni na sio mali inatyopatikana kule Ufipani au unyamwezini,upare/uchagani au uhayani.Pole sana na hongera sana kama umeoa tayari.
Yes, kwa kweli mbele ya Mungu hakuna kinachoshindikana....
 
Nakushauri usimtajie kabila lako, akikuuliza kabila lako mwambie haumuoi ili mwende mkatambike.
 
Kweli acheni Mungu aitwe Mungu

Katavi! Endelea kumuomba Mungu kama Fidel80 alivyokushauri

Mkuu nakushauri usali sana na uzidishe maombi maana mke mwema anatoka kwa Mungu shukuru hao walio kukimbia ni wachunaji tu na ungebahatika kumuoa mmoja usinge dumu nae
 
Uongo ni sumu ya mapenzi mkuu, may be hawakupendi but kabila siyo ishu kabisaaaaaaaa, na mtu yeyote anaye mjudge mwenzie kwa dini au kabila ni mbinafsi, ukizingatia uchangamanaji huu, so anayekukimbia sababu ya kabila mkimbie, hata usimsogelee la sivyo utakuwa unacheza makida makida kwenye transfoma.
 
Katavi, mposuta kuno kwacha asante karesaa. Njoo nyumbani mbona kuna warembo wa kifipa wengi sana?.
 
naombeni ushauri kutokana na tatizo linalonikumba ktk haya mambo ya kimahusiano. Ni muda mrefu nimekuwa nikikimbiwa na wapenzi, na hii hutokea kila ninapowatajia kabila langu. Mpenzi wangu wa mwisho niliamua kumueleza nia yangu ya kwenda kujitambulisha kwao, lakini alikataa kwa sababu kuwa hawezi kuolewa na mimi, hata kwao watamshangaa kuolewa na mtu kutoka kabila linalosifika kwa uchawi(sina uhakika na hili) na uhusiano uliishia hapo. Kutokana na umri kuanza kunitupa mkono, nimekuja kwa staili ya kuoa na nimepata binti mmoja ambae bado hajapata details zangu. Kutokana na experience niliyopata kutoka kwa wapenzi wa zamani, nafikiria kumdanganya kuhusu kabila langu ili naye asije akanibwaga.
Naombeni ushauri nikaoe kijijini mtu wa kabila langu au niendelee na mpango wa kumdanganya huyu kuhusu kabila langu!

kwani una vibuyu bado pale gheto kwako???? Vitoe utaona mambo
 
si lazima aoe ila ni muhimu aoe ndo maana anatamani kuifikia hatua hiyo
mpendwa mungu akusaidie akupe mke wa choice yako amini hivyo

Hii inanikumbusha Harusi moja ambapo baba mkwe baada ya kuombwa kutoa nasaha alisema kuwa yeye hana mengi ila hili moja kuwa " Ukiamua kuoa / kuolewa AMA ukiamua kutokuoa / kutokuolewa ujue kuna siku utajuta". Mzee wa kisukuma akaishia hapo na kukaa chini huku akiwaacha hoi waalikwa wote ikiwa ni pamoja na wazazi wazaa chema toka Moshi.
 
Back
Top Bottom