Kila Mkuu wa Mkoa wapitie mafunzo,

Rebeca 83

JF-Expert Member
Jun 4, 2016
14,840
31,583
Hello JF,

leo nimewaza,

hivi wakuu wetu wa mikoa wameelimika kwenye course gani?

ningependa kujua watu hawa huwa wanaangaliwa kwa vigezo vipi?

Mie nadhani watendaji wa halimashauri na wakuu wa mkoa,wapitie mandatory training ya community development course,

kila mmoja atajua jinsi ya kuexploit mazingira yake, kuexplore fursa,na kusolve changamoto mbali mbali zinazomkabili.

educated workforce,better economy and prosperity for our society.
 
Uongozi ni talent, kuna professionals wengi tu wanashindwa hata kufanya mambo yao wenyewe
Ningependa kujua hao wasasa wameteuliwa kwa kutumia vigezo gani, ili tuone kama kuna trend, then tutafute njia bora ya kumaximize their performance.
 
UongOzi siyo telent ni professional/taaluma.
Kuna mengi ya kujifunza kabla ya kushikia msimamo fulani na kukosoa pengine kwa kejeli kama ulivyo leta kejeli kuhusu Nyerere.

Leadership Skills Can Be Inherited
By ATD Staff
Thursday, January 17, 2013
(From Psych Central) -- Many believe the skill to be a successful leader is a talent acquired over time and reflects experience and opportunity.

But new research suggests that while experience is helpful, leadership acumen may also be an inherited trait, with some people genetically endowed with a greater likelihood of taking on managerial responsibilities.

The study, published online in Leadership Quarterly, is the first to identify a specific DNA sequence associated with the tendency for individuals to occupy a leadership position.

An international team of researchers studied a large group of twins and discovered that a quarter of the observed variation in leadership behavior between individuals can be explained by genes passed down from their parents.
Soma zaidi kwenye hizo link.
Leadership Skills Can Be Inherited
Can Leadership Skills Be Inherited?
 
Tanzania watu wengi ni wabishi sana.

Ndiyo maana hata hii thread usitegemee majibu chanya.
 
Kwenye Mkoa viongozi na watawala ni wengi. Mkoa unapodumaa kimaendeleo ni kiongozi gani wakumlaumu?
 
Hello JF,

leo nimewaza,

hivi wakuu wetu wa mikoa wameelimika kwenye course gani?

ningependa kujua watu hawa huwa wanaangaliwa kwa vigezo vipi?

Mie nadhani watendaji wa halimashauri na wakuu wa mkoa,wapitie mandatory training ya community development course,

kila mmoja atajua jinsi ya kuexploit mazingira yake, kuexplore fursa,na kusolve changamoto mbali mbali zinazomkabili.

educated workforce,better economy and prosperity for our society.
kuna maafisa ustawi wa jamii wako kila halmashauri ndio kazi yao hiyo wanayofanya kila siku.....Mkuu wa mkoa kazi yake ni kuhakikisha ulinzi na usalama wa mkoa na kusimamia watendaji wa serikali wafanye kazi zao inavyotakiwa
 
Sasa mbona tunaona Ma-DC na RC wanavyowatetemesha mkoa mzima kuanzia huyo mkurugenzi mpaka mwananchi wakawaida.?
mkurugenzi bosi wake ni mkuu wa mkoa.......lazima mkuu wa mkoa amtetemeshe mkurugenzi ili afanye kazi inavyotakiwa.
 
Kazi ya kwanza ya Mkuu wa Mkoa kama mwakikishi wa central government ni Ulinzi na Usalama kama alivyo DC Wilayani na Afisa Tarafa Tarafani. Kazi ya pili ni maendeleo ambayo kwa kiasi kikubwa inafanywa na DED na idara zake. RC yeye ni kusimamia Halmashauri zote zilizoko kwenye Mkoa wake akishirikiana na RAS wake kusimamia
 
Back
Top Bottom