ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 44,368
- 51,113
Baada ya BBT sasa ni kila zamu ya wakulima wadogo.
Serikali ya awamu ya 6 imeamua kutofuata mkumbo wa ngonjera, pambio na misamiati ya miaka nenda rudi kuhusu kilimo, sasa inatenda kwa vitendo.
Kila kkulima mdogo atachimbiwa kisiama na kufungiwa Irrigation system ya kutosha kumwagilia hekta 1 au ekari 2.5.
My Take
Maneno kidogo Vitendo zaidi ni mwendo wa kuupiga mwingi.
Nawakumbusha tu wazee wa DP World na Twitter mkipigwa za uso 2025 msije kusingizia mmmeibiwa. Rais Samia anaendeleza kujitofautisha na wapiga makelele, kazi iendelee.
====
Serikali inaanzisha programu ya Mkulima na Kisima ambapo wakulima watachimbiwa visima na kuwekewa mtandao wa umwagiliaji wa ekari 2.5 kwa kila mkulima mdogo.
Lengo ni kuhakikisha wakulima wanakuwa na uhakika wa maji ya kumwagilia mazao yao misimu yote.