Kila mara tumekuwa tukisema hakuna kazi/ajira... Hebu tutafakari haya.!!

Aug 17, 2016
73
39
-Je umekuwa mwaminifu kutafuta kazi?,
-Unatumia taratibu zipi kutafuta kazi?,
-Je unakotafuta kazi unavigezo vyake?.
Tumekuwa tukilalama kwamba hakuna kazi lakini ki ukweli jiulize ni kwa namna gani umeitamani kazi na kujitoa kwa uwezo wako wote kutafuta ajira kwa udi na uvumba, au una kwenda ofisi mbili tatu na CV mbaya, ukitaka kazi ya ujenzi wakati wewe ni mshonaji, ama kazi ya uvuvi wakati kuogelea hujui. Kama vigezo vinavyotakiwa huna usitegemee kupata kazi hiyo..UNAPOTAFUTA KAZI HAKIKISHA UJUZI WAKO UNAENDANA NA VIGEZO VINAVYOHITAJIKA.

-KAZI KUJUANA?!
Wengi tunasema kazi siku hizi kujuana. kwa namna moja ama nyingine hili laweza kuwa kweli. kuna wakati waajiri hutumia watu kupata watu.Je wewe unajiweka katikati ya kina nani? Ni watu wa aina gani waliokuzunguka? Unapojiweka na watu wenye ujuzi,maarifa,nyadhifa na hadhi ya juu, ni rahisi kwa wao kukukumbuka wewe wa kwanza tuu pindi wanapoulizwa kama wanamjua MTU mwenye ujuzi Fulani. JIFUNZE KUKAA NA WATU WATAKAO KUSAIDIA, KUMBUKA NDEGE WENYE MBAWA ZA KUFANANA HURUKA PAMOJA.

CVPEOPLE AFRICA ni WAKALA wakubwa wa ajira barani Africa wakiwaunganisha waajiri na wanaotafuta ajira kutoka katika kila kona ya Africa.

Kupata Huduma zetu unahitajika kujisajili nasi kupitia katika tovuti yetu . Kisha kuingia katika Tanzania jobs na uchague ajira uipendayo... [HASHTAG]#jisajiliburenacvpeopleafrica[/HASHTAG]
#nafasizakazi_zipo
[HASHTAG]#nafasizakazi[/HASHTAG]
 
Hayo maamdishi kwa herufi kubwa yanakera kama vile unashout.
 
Wakuu naomba kuwakilisha, kuna kampuni moja hapa arusha inayojenga barabara kutoka sakina hadi tengeru, inaajiri wageni kazi ambazo mzawa anaweza kuzifanya, kama vile kuopareti mashine za kutengeneza barabara hasa maexcavetor,nk.naomba wizara husika ifatilie suala hili.
 
Back
Top Bottom