Kila m2 akifanya hv! HIV kwaheri.

Mtoa mada ni mtoto wala hajaoa katoa kwenye story za movie kaleta hapa jamvini kupima hasira zetu, kama unataka kujua ni mtoto angalia style yake ya kuandika kwa kutumia numbers e.g 2seme, 2tatfika

Usemavyo mkuu lakini bado ukweli utabaki pale pale am "married" ila ku2mia hivyo nikupunguza urefu w maneno...ushaur wako?
 
ruksa kuchakachua nje ilimradi ku2mia jezi(kondom)[/QUOTE]

Pole sana mkuu kwa kuweka imani kubwa kwa kitu ambacho hakiamini labda nikuulize swala moja ukiwamemzimikia binti fulani na kwa bahati mbaya binti huyo ni positive unaweza endelea na ufedhuli wako kwa kuwa unatumia jezi??????????????Kondom au jezi kama uiitavyo wewe si kinga madhubuti hivyo basi ndoa yako iko kwenye hatari kubwa ya kupata maambuki ya mangonjwa hatari yanayo ambatana na zinaa.Zaidi ya hapo hata maneno mawili ya mwanzo wa thread yako "Asaalam aleykum" nionanavyo mimi hayakupaswa kutumikika kwani chini ya maneno hayo hakuna amani yeyote.
 
Asaalam aleykum wanajamv ....mimi na mke wangu 2napenda sana hii nikutokana na mfumo w maisha 2liopendekeza 2ishi.na 2meamua kuishi ktk mfumo huo kutokana na dunia y sasa iliyogubikwa na magonjwa na fumanizi kila kukicha.mimi na mke wangu 2meamua kuwa wazi kila mmoja we2 ruksa kuchakachua nje ilimradi ku2mia jezi(kondom) ...ikitokea cku anaenda kuchakachuliwa aniaga na akirudi aniadisia jamaa alivyompinda wakit mwingine na mimi hivyo hivyo nikienda namuaga nikirudi namcmulia jinsi nilivyokamua.... je ni vizuri au nimechemka.nawaclisha

Chwechwe, bila unahitaji ushauri wa kisaikolojia, wewe na mkeo, kama kweli umeoa au umechakachua. Je, jina lako halisi ni Chwechwe au Kicheche?
 
Nadhani ungeoa kwanza Chwechwe,
ili uweze kujistify, uhalisia wa hilo unalozungumza hapo juu,
nafikiri ukishaoa utakuwa umejipatia jibu muafaka,
kama ni sawa au hapana!
 
kwa walionishaur kwnye thread hii asanten sana kw walionikejeli pia shukran kw wao pia.nimegawa visenksi km pipi bila kujali walionikejeli sababu mi c mchoyo km walivyo wengine kutoa senksi ni inshu.kuna baadh y mambo ya2fanya 2fanyehivo.najua mtaona km 2naigiza ila haya mambo ya ndoa kazi kweli nimeona 2ishivyo itasaidia kujiepusha na hili gonjwa. kama kuna thread ziko humu "kakamatwa live" na"mke wangu anisikii" na nyingine nyingi nieleweke 2 kw nn nimefanya hivyo.... jamani maoni yeni nitayafanyia kazi
 
Chwechwe kama ni kweli na kama una tatizo linalopelekea hilo kweli.
Hio sio njia sahihi mbele ya Mungu na mbele ya wanadamu pia.
Mi nafikiri ungetoa au ungesema sababu inayopelekea ninyi muishi maisha kama hayo,
ingesaidia zaidi kupata tiba ya tatizo lako kama kweli unataka kupona katika hio hali.

Lakini inaonekana kama vile mmechagua kuishi hivyo kwa starehe zenu tu.
Basi kaka mpendwa hebu tuambie kuna nini katikati yenu? Hata muishi hivo?
Kumbuka unaposema hilo tatizo huponi peke yako, yawezekana kuna watu wengine wanalo tatizo kama hilo,
Watasaidika pia.

Mungu anakupenda jinsi ulivyo, jaribu kuwa mnyenyekevu tu atakupa njia ya kutoka hapo.
 
Asaalam aleykum wanajamv ....mimi na mke wangu 2napenda sana hii nikutokana na mfumo w maisha 2liopendekeza 2ishi.na 2meamua kuishi ktk mfumo huo kutokana na dunia y sasa iliyogubikwa na magonjwa na fumanizi kila kukicha.mimi na mke wangu 2meamua kuwa wazi kila mmoja we2 ruksa kuchakachua nje ilimradi ku2mia jezi(kondom) ...ikitokea cku anaenda kuchakachuliwa aniaga na akirudi aniadisia jamaa alivyompinda wakit mwingine na mimi hivyo hivyo nikienda namuaga nikirudi namcmulia jinsi nilivyokamua.... je ni vizuri au nimechemka.nawaclisha

Under f.*c.*i* 18 @ work
 
Chwechwe kama ni kweli na kama una tatizo linalopelekea hilo kweli.
Hio sio njia sahihi mbele ya Mungu na mbele ya wanadamu pia.
Mi nafikiri ungetoa au ungesema sababu inayopelekea ninyi muishi maisha kama hayo,
ingesaidia zaidi kupata tiba ya tatizo lako kama kweli unataka kupona katika hio hali.

Lakini inaonekana kama vile mmechagua kuishi hivyo kwa starehe zenu tu.
Basi kaka mpendwa hebu tuambie kuna nini katikati yenu? Hata muishi hivo?
Kumbuka unaposema hilo tatizo huponi peke yako, yawezekana kuna watu wengine wanalo tatizo kama hilo,
Watasaidika pia.

Mungu anakupenda jinsi ulivyo, jaribu kuwa mnyenyekevu tu atakupa njia ya kutoka hapo.

Siyo kwamba nitatizo ila nilikua nauliza maisha 2nayoishi yanafaa au 2badili mfumo?
 
Nadhani ungeoa kwanza Chwechwe,
ili uweze kujistify, uhalisia wa hilo unalozungumza hapo juu,
nafikiri ukishaoa utakuwa umejipatia jibu muafaka,
kama ni sawa au hapana!

kuishi na mwanamke zaidi y miezi sita ni sawa nimeshaoa coz nimeishi nae kw km miaka miwili.
 
Chwechwe, bila unahitaji ushauri wa kisaikolojia, wewe na mkeo, kama kweli umeoa au umechakachua. Je, jina lako halisi ni Chwechwe au Kicheche?

ChweChwe mkuu. na mke wangu anaitwa MweMwe 2naishi cnza white in
 
Siyo kwamba nitatizo ila nilikua nauliza maisha 2nayoishi yanafaa au 2badili mfumo?

msibadili mfumo coz inaonekana mnapenda na kufurahia life style mlochagua wewe na mkeo, endeleeni hivyo hivyo!!!!! Lakini fahamuni ya kuwa Moto wa Jehanamu upo kwa ajili yenu.
 
Watu bwana sasa mnachomtukania huyu jamaa nini sasa wakati ndio aina ya maisha wengi mnayoishi au kwa kuwa yey na wife wamevunja ukimya huku nyie mkijilipua kwa siri:coffee:
 
Back
Top Bottom