*Kila la kheri kidato cha nne*

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,149
kwa wale wote wanaotarajia kufanya mtihani w akidato cha nne jumatatu ijayo nawatakia kila la kheri na mungu awalinde mpaka mtakapomaliza mitihani yote NENO LA MUNGU LINASEMA HATATAKUWA MKIA BALI VICHWA SO NAWAHIMIZA WOTE MSIKATE TAMAA MUNGU YU PAMOJA NANYI.....
NINAONDOA PEPO LA UWOGA PEPO LA KUFELI MTIHANI NA KILA MLICHOSOMA KIWEPO KWENYE MAKARATASI YENU......

WENU
MAMA MIA
 
Nungana nawe mama mia...nawatakia kila la heri katika mitihani yao.Ukizingatia kwa sasa ukimaliza form for bila kufauli unakuwa kituko....

Mungu awatangulie.
 
Wish u all the best tunawaombea mkutane na maswali mnayajua mfaulu.
 
All the best wifi Yangu Oliva na wanafunzi wote wanaotarajia kufanya mtihani!
 
May God take you through exact angles.All the best watahaniwa wote na bwana mdogo Erasto wa Ifunda
 
Ila angalia kusiwe na forgery kiasi mitihani ikafutwa.
Maana katika kipindi hiki nasikia mitihani huwa inavuja kinoma
 
Na huu mgomo wa walimu watapona kweli wanafunzi wetu...wadogo zetu...watoto wetu?
Kila la heri.
 
Kila la kheri kidato cha Nne, Mwenyezi Mungu awawezeshe kukumbuka yale yote mliyofundishwa.
Roho wa Mungu awape uweza wa kujibu hata yale ambayo hamkufundishwa.
 
Back
Top Bottom