Kila la heri kilimanjaro stars

Rwanda 2 Zimbabwe 0

Thanks mkuu! Ina hata kama tukiwafunga Djibouti mechi ya mwisho ndo itaamua bcoz itabidi tuwafunge Zimbabwe,,,au la tuwafunge Djibouti magoli mengi ili tukatafute draw na Zimbabwe..kazi ipo !!
 
Safari yetu inaweza kuishia miguuni mwa Zimbabwe!
 
Thanks mkuu! Ina hata kama tukiwafunga Djibouti mechi ya mwisho ndo itaamua bcoz itabidi tuwafunge Zimbabwe,,,au la tuwafunge Djibouti magoli mengi ili tukatafute draw na Zimbabwe..kazi ipo !!

endapo mechi ikiisha hivihivi itabidi Killi itafute droo tu zidi ya Zimbabwe ili isonge mbele.
 
Ngassa alitakiwa aingie sasa ili aongeze kasi mbele kwani Maulid naona kama vile anazidiwa ujanja na mabeki wa Djibouti.
 
kwa hiyo wadau mnaoangalia huo mpira mnataka kutuambia kuwa hayo magoli sio ya kiufundi bali ni bahati tu, timu inacheza hovyo ila imekutana na kibonde ndio maana wanafunga?
 
endapo mechi ikiisha hivihivi itabidi Killi itafute droo tu zidi ya Zimbabwe ili isonge mbele.

You are right mkuu! Sababu sie tulipigwa kamoja na rwanda wao wamepigwa mbili,thanks for correction ! Ila sasa hiyo droo kwa timu yetu hii..lol..Mungu jalia!
 
aliyefunga goli la tatu ni YUSUPH RASHID aliyechukua nafasi ya THOMAS ULIMWENGU.
MGOSI alitoka akaingia NURDIN BAKARI. hawa walioingia ndo wameleta uhai wa timu. vilevile kaingia GODFREY TAITA katoka SAID MOLALI. wachezaji wa gjibouti wanaonyesha kutolidhika na maamuzi ya refaa. lakini ukweli ni kwamba refa hajatubeba. mia
 
goli la tatu limefungwa dakika ya 39. na MPIRA UMEKWISHA.
MATOKEO NI
KILI STARS 3 - DJIBOUTI 0.
MIA
 
aliyefunga goli la tatu ni YUSUPH RASHID aliyechukua nafasi ya THOMAS ULIMWENGU.
MGOSI alitoka akaingia NURDIN BAKARI. hawa walioingia ndo wameleta uhai wa timu. vilevile kaingia GODFREY TAITA katoka SAID MOLALI. wachezaji wa gjibouti wanaonyesha kutolidhika na maamuzi ya refaa. lakini ukweli ni kwamba refa hajatubeba. mia

Jamhuri Kiwelu jana alisema watashinda goli nyingi yaani zikiwa chache ni tatu.......
 
wachezaji wa stars inabidi wacheze kwa kujitolea/juhudi binafsi. hata goli la 3 huyu yusuph Rashid kajitolea baada ya beki ya djibouti kushindwa kutuliza mpira aliouchukua na kufunga goli. vile vile inabidi watumie akili zaidi ili kuishinda zimbabwe halafu waache uroho wa kutokutoa pasi. Mia
 
Back
Top Bottom