Kila la heri CDM.

mahoza

JF-Expert Member
Mar 11, 2012
1,248
577
Usiku mwema kwa wote na Arumeu Mashariki msisahau Kira yenu ni muhimu kwa hii nchi. Watu wote kapigieni Kira CDM. Peoplezzzzzzzzzzzzzzzz power. LOL.
 
Jamani wana cdm arumeru lindeni kura zenu, minyang"au ya ccm itajitaidi kuiba sauti zenu, msikubali msiruhusu magari kuingia vituoni baada ya nyie kupigwa kwa kura
 
Back
Top Bottom