Kila kitu Yanga, wengine hamuwaoni?

Dr Matola PhD

JF-Expert Member
Oct 18, 2010
56,608
93,384
MDAU - KILA KITU YANGA, WENGINE HAMUWAONI...!

✍️ Kaandika mdau wa soka, Ole Mushi !

"KWA NINI WACHEZAJI WA SIMBA HAWAULIZIWI NA TIMU KUBWA ZA NJE?"

"Sijasikia mchezaji hata mmoja wa Simba SC kutakiwa kununuliwa na timu za nje. Karibia wachezaji wote wa Yanga SC timu za nje zimetuma maombi ya kuwataka. Haya nayo ni mafanikio." - Thadei Ole Mushi

"Waandishi wote wa Habari nchini wamegeukia kuangalia transfer za Yanga SC na ndio CONTENT pekee inayouzika kwa sasa kwenye michezo nchini. Hii ndio tafsiri ya Club kubwa nchini….."

"Mashabiki wote wa Simba wana akili ya Kuku kukimbilia kwa jirani wakati anafukuzwa na mfugaji wake lakini jioni hurejea kwa mfugaji amfungulie banda alale. Nasema hivi kwa sababu mashabiki hawa wanafurahia wachezaji wa Yanga kutaka kusajiliwa nje ya nchi"

"Niwakumbushe tu kuwa hata walipowasajili hao wachezaji (2021) Simba walisema Yanga inataka kufungua Bendi ya kikongo. Na kweli Bendi hii ya kikongo imetutetemesha kuanzia Msimbazi hadi Jangwani Mwanza hadi Mtwara hakuna mtu ambaye hajui kutetema wazee vijana na watoto"

"(Simba) Wanarudia kosa lile lile, wanahangaika na ya Yanga wanasahau na wao wana jukumu la kuziba pengo la Bocco aliyezeeka, pengo la Kibu, Pengo la Onyango, nk. Yaani Pale Simba ni Inonga tu mwenye sifa ya kuvaa ile Jersey ya Mo"

© Thadei Ole Mushi
 
ushamaliza kila kitu
 
Back
Top Bottom