Simple, Kila kitu kinacholalamikiwa do the opposite. Kwa mfano kama wananchi wanalalamika Wakenya wanapewa kazi sana, dawa yake ni kuwapa kazi WaTZ badala ya wageni unless WaTZ hawana ujuzi na kazi hiyo. Kama wananchi wanalalamika Vigogo hawafikishwi mahakamani, dawa yake ni kufikisha vigogo katika mahakama huru na yenye kutenda haki.
Sijui nchi hiyo uliyotembelea. Lakini ktk nchi nyingine serikali haiajiri watu bogus. Inaajiri top creams ktk fani mbalimbali na kuwalipa vizuri, na ndio maana wana-deliver na nchi zao zinasonga mbele kwa mbele. Hoja kuwa kazi ktk serikali ya Tz ni wito ni kansa inayosababisha serikali kuajiri watu bogus na kuwalipa mafao finyu, na in return hao wafanyakazi ambao wengi ni bogus kwa kulipwa peanuts wanageuza maeneo yao ya kazi kuwa vilinge vya rushwa ili kulipizia nakisi ya gharama za maisha.
Huu ni muono wangu.
HEBU SUBIRI KIDOGO....
Sidhani ni rahisi kama unavyoonyesha kwenye kuandika.
Tueleze ni jinsi gani haya mabadiliko yatafanywa.Yote uliyoyaonyesha yanafahamika - it is the HOW PART ndio bado hatujajua.
tuepuka kutoa majibu mepesi kwa matatizo magumu.