Kubwajinga
JF-Expert Member
- Jan 23, 2008
- 2,194
- 297
- Thread starter
- #61
KJ,
Achana na Waingereza na hipocrisy yao.
From a purely African perspective, unakubali kwamba Mugabe anefanya grave atrocities? War crimes? Heinous acts bordering on genocide?
Unavyosema hapo juu inakuwa kama unaamini kuna sides mbili tu katika hii issue, Mugabe na Waingereza.Issue iko complex zaidi, kuna Wazimbabwe, kuna Mugabe na genge lake, kuna Waingereza na shoga zao wa magharibi na kuna Waafrika wa nchi nyingine.
Sasa basi, the fact that Waingereza ni wanafiki haiondoi ubaya wa Mugabe.Na si kweli kwamba kila Muafrika ambaye anataka Mugabe aondolewe anakubaliana na Waingereza.
Pundit,
Tunaweza sema tuachane na hizo hypocricy za waingereza, lakini in one way or another, they are the ones driving Zimbabweans into submission.
Ndio ni kweli issue ya Zim ni complicated, lakini kwa ujumla wake inagawanyika makundi mawili tu, Mugabe vs UK (whitefarmers). Matatizo mengine yote yanakuwa derived kutokana na huo msuguano, iwe ni matatizo ya uchaguzi, the hyperinflation au hata wakimbizi huko SA n.k.
The reprehensible crimes commited in Matebele land are well known. Zimbabwe soon after independence went through a period of turmoil, as opposing tribal sides were trying topple eachother, one in government and the other in the bush. It is unfortunate that many people were killed as a result, but that has nothing to do with the cry over Mugabe's head today. Call it anyhow, but the fact is that the west were never concerned of the deaths or disapperance of those individuals then, and the queen even had the audacity of giving the Knighthood to Mr. Mugabe. All that changed after land redistribution, why?
Mugabe might have messed up along the way, but which leader hasn't. However, that doent give us the stupidity to side with the whitefarmers and their backers, in toppling Mugabe.