Kubwajinga
JF-Expert Member
- Jan 23, 2008
- 2,194
- 297
- Thread starter
- #41
Ni yeye Mugabe ndiye anataka kuonesha kuwa kuna kugongana katika SADC... hata viongozi wote wa SADC wangekuwepo angesema mbona "wake zao hawapo?"!
Mkuu MJJ,
Kama watu wamegomea mkutano hiyo siyo dalili ya mgawanyiko? Kikwete kaitisha kikao akajikuta yeye mwenyewe na kale kajamaa ka-poligamist na ni kwa vile ndio anaye-chair otherwise, ingekuwa tu Kikwete.
Angalia kwenye BBC wamepika kuwa Angola nao walikuwapo na Mbeki alishiriki kwa simu. Kitu tofauti na communique iliyotolewa. Kikwete kauparamia na sasa anatuaibisha.