Elections 2010 Kikweteee!

JK amechelewa kujisafisha kwa watanzania,swahiba/mkereketwa wa CCM kibonde akafikiri anamuuliza swali rahisi rais wake kumbe kamkaanga hajui hata muundo wa serikali yake.heshima ya urais ipo wapi km atapita barabarani kwenye VX halafu halafu citizen wanakuzomea hawana time naye.
 
Unajisikiaje kuapiswa leo? ukizingatia watu zaidi na Nusu hawajapiga kura, pia hukuchaguliwa na wananchi kwenye miji mikubwa kama Dar, Mza, Arusha, Moshi na Mbeya.

Hivi Rasi utatekeleza kweli ahadi zako zote 65 ulizozitoa au ulikuwa danganya toto?
 
Umeshaoyesha huwaamini viongozi wa CCM, na wa SERIKALI ambao umewateua wewe kwa kufanya BMW campaign, sasa UNAENDELEA KUKAA NAO WA NINI?? Badilika ili kesho na kesho kutwa tukikuuliza swali kuwa tukukumbuke kwa lipi usije ukatujibu "mnnikumbeke kwa kuwatoa pale na kuwafikisha hapa" Ninao uhakika mbele za mungu kuwa hukuwa chaguo halisi la kuwa Raisi wa nchi kubwa kama hii (labda mkuu wa mkoa) kwa kuwa umeprove failure, LAKINI huu ndo muda wako wa kujisafisha msije kunya maji kwa karai. Ondoa washauri uchwara, Wapambe nuksi,Kujipendekeza kwa balozi wa marekani (anakudharau),safari za kuomba vyandarua nk Badilika baba nchi itakushinda..

Kwa nini abadilike wakati amepata kile alichokuwa anataka? Kuendelea kuwatia umaskini Watanzania na kuigeuza Tanzania nchi ya kifalme. Kampeni yake kubwa sasa ni namna ya kumfanya Ridhiwani awe raisi. Hivyo atajenga hoja ya kubadilishwa katiba ili umri wa kugombea uraisi uwe miaka 21. Vilevile atapigana kufa na kupona ili Ridhiwani ateuliwe kuwa mgombea wa uraisi kupitia chama cha mafisadi. Na kutakuwa ni kipengele kingine kuwa baada ya Ridhiwani kuwa Raisi Tanzania itageuka kuwa nchi ya kifalme ambayo itajulikana Muungano wa Ufalme wa Tanzania (United Kingdom of Tanzania ) na Mfalme wake atakuwa Ridhiwani Kikwete. Hongera sana Mfalme Kikwete!
 
Weka hoja , sio maneno matupu kama hayo. Na wewe nenda basi ukapewa huo ufalme kwani unaonekana una hamu nao sana. Wekeni hoja , sio upuuzi kama huu bana.
 
Kikwereeeeeeeeeeeee aiseeeeeeeeeee
swali: inaelekea una constructive ideas, kwanini nchi yako maskini? mmmhh... sijui, mm nafikiri alitaka kusema watu ndio wanapenda umaskini, naumwa paaaap nikisikia hili
Iringa in campaign: I am sorry napokea simu kutoka kwa balozi wa marekani, what's up ma men..!!? i am good, who..? Obama...kasema atamwaga misaada kama mvua oohh god thank you, you, u u u...... .ha haa haaa haaahhhhh.... Mara nilikuwa naongea na US ambassador, kasema Obama kaisifia saaaaaana TZ, ataimwagia misaada, mmesikia jamaani nichagueni,........!!!!!!!!! watu mmmmmmmmmmmhhhh...eeeeeeeehh..!!!!!?????:crazy::hurt::blah::A S thumbs_down::A S-confused1::nono::nono::nono::nono: No, noo, noooooooooooooo
 
Question. Mr. President....... Why your country is so poor?

ANSWER. I actually don't know why is so poor.

Swali kwa Kikwete: what have you achieved in five years as a president of URT?
Jibu from Kikwete: Najivunia kuwa foleni za magari zimeongezeka ndani ya miaka tano ya utawala wangu, hii inaonyesha kuwa watanzania
wamenufaika na utawala wangu.

Thats our president Mr Kikwete (Phd):doh:
 
Baba wa Taifa aliisha sema ' Kutakuwa na wagombea wengi wa URAIS ila Rais bora atatoka CCM' . CCM ipo na itakuwepo forever, wala msitegemee 2015 mtaichukua nchi hii jipeni moyo tu ila hicho kitu halipo mkuu, mtalia miaka yote mpaka mwingie kaburini. Na kiboko yenu Jaji Makame ataendelea kuwa MWENYEKITI WA TUME YA UCHAGUZI MUDA WAKE WAISHA 2016.

Ni aibu iliyoje kuwa na mtu anaitwa Judge, halafu anachumia tumbo kwa kuliingiza taifa kwenye hali ya suspense kama hii! Ptu!!
Hivi ana watoto kweli?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom