tehe...tehe...inafurahisha sana hii habari, KWELI?
S
Nchi zote zimetoa pesa kwenye makampuni kama mikopo lakini kwetu inaonekana hizi kampuni binafsi zmepewa ruzuku, je ni kweli???
the answer is an absolute yes!! kumbuka mwanzoni walisema kuwa mporomoko wa uchumi usingetuathiri sana kitu ambacho kilikuwa ni kweli.. waliposikia wajomba zao wanaandaa stimulus package na wao wakaamua kuja na yao. Kumbuka wakati kilichoathirika kwenye nchi za magharibi ni mfumo na taasisi za kifedha sisi katika Tanzania tusingeweza kudai hivyo..
Mahali pekee ambapo tungeweza ilikuwa ni katika Kilimo.... kwa hiyo ikabidi tudai kuwa kilimo chetu kimeathirika sana.. kitu ambacho si kweli kwani we don't export a lot of our agricultural products and our agriculture system is not as developed as in more developed nations.. ..
So.. wasingeweza kutoa mikopo kama ilivyo (japo najua vingine vimetolewa kama mikopo)..