Sumba-Wanga
JF-Expert Member
- Feb 2, 2011
- 5,349
- 1,224
Hizi ndio moja ya mambo tuloachiwa na hao wa Oman
Sasa kwa mtaji huu mtu atafanya kazi gani na saa ngapi
Last edited by a moderator:
Hizi ndio moja ya mambo tuloachiwa na hao wa Oman
inaelekea baada ya urahisi anataka kutimkia Oman, awe bepari la gas Tanzania liishilo Oman.
Mtumwa hawezi kamwe kumsahau Bwana wake..bali Bwana huweza kumsahau Mtumwa wake....!haya ni mawazo ya kitumwa,kuamini kuwa una undugu na mtu aliyepata kuwa Bwana wako,akakuuza kama bidhaa sokoni,akakusafilisha bara mpaka pwani kwa mijeredi na mizigo mizito!Yeye aliyekuona wewe kama bidhaa wewe unamuona yeye kama ndugu...
Punguza chuki zisizo na issue, si hata wale wa USA,UK etc mwaka jana walishaambiwa about hiyo issue pia. Hao tunaowaita Diaspora si mpaka membe alitamka bungeni!! Sometimes punguzen ubiased. Kwaiyo unataka kutuaminisha anawapendelea waarabu na sio walio america na uerope? Pumba<Kwanini <wa <Oman tu<<? <Kapata <URAIA wa Oman nini?
A constitutional review that is underway in Tanzania may lead to the passage of a bill that would enable Omanis who have roots in that country avail dual citizenship, according to President Jakaya Mrisho Kikwete, whose visit to Oman concluded on Friday.
Speaking at a press conference on Thursday, Kikwete said Oman is the only country in the world whose citizens are related to many in Tanzania. I meet somebody from Oman and he says my relatives are in Tanzania. No country I have visited has such a relationship. Oman is a very special country for Tanzania, which is why consolidation and advancing of these relations is the top priority of the diplomacy of Tanzania, Kikwete said.
He said his country is conducting a constitutional review during which dual citizenship will be considered. We are now in the process of doing a constitutional review and dual citizenship is one of the things that will be discussed. We have so many people of Tanzanian origin who have acquired citizenship of other countries. If the dual citizenship bill is passed, Omanis of Tanzanian origin can now have the liberty to reclaim the citizenship of their ancestral home country.
Omanis of Tanzanian origin maybe eligible for dual citizenship - Muscat Daily
Unajua kuwa Kilwa ilikuwa ikijitawala Kiislamu na kufikia hatua ya kuwa na sarafu yake yenyewe ikiandikwa laailaaha illa llaah?Biashara ya utumwa iliposhamiri pwani hii na kuonekana Zenj kuwa kitovu kinahoinufaisha sana hierarikia yao. Palipo hazina yako ndipo na moyo wako ulipo.
Sioni ubaya wa dual citizenship. Ubaya ni vile hatuaminiani. Hapo itakuwa ngumu.
Mtumwa hawezi kamwe kumsahau Bwana wake..bali Bwana huweza kumsahau Mtumwa wake....!haya ni mawazo ya kitumwa,kuamini kuwa una undugu na mtu aliyepata kuwa Bwana wako,akakuuza kama bidhaa sokoni,akakusafilisha bara mpaka pwani kwa mijeredi na mizigo mizito!Yeye aliyekuona wewe kama bidhaa wewe unamuona yeye kama ndugu...
Huwa najiuliza iwapo JK angekuwa anakunywa pombe angekuwa mtu wa namna gani kimaamuzi! Tafakari
Punguza chuki zisizo na issue, si hata wale wa USA,UK etc mwaka jana walishaambiwa about hiyo issue pia. Hao tunaowaita Diaspora si mpaka membe alitamka bungeni!! Sometimes punguzen ubiased. Kwaiyo unataka kutuaminisha anawapendelea waarabu na sio walio america na uerope? Pumba
Sijaona tatizo lolote hapo kwa sababu ni kweli oman ina wa tz wengi sana tena ambao hawajaisahau nchi yao,naamini serikali ya Oman karibia 55 percent inaendeshwa na waswahili wa Tz,hata wakazi wa mji wa muscat wengi wao ni wa Tz najua kikwete baada ya ziara yake kaliona hilo,ukiwa katika mji wa muscat sehem yeyote ongea kiswahili hutakosa mswahili,
sawa mkuu lakini basi na akina Godwin Gondwe wapewe basi kwa ajili ya Malawi!Sijaona tatizo lolote hapo kwa sababu ni kweli oman ina wa tz wengi sana tena ambao hawajaisahau nchi yao,naamini serikali ya Oman karibia 55 percent inaendeshwa na waswahili wa Tz,hata wakazi wa mji wa muscat wengi wao ni wa Tz najua kikwete baada ya ziara yake kaliona hilo,ukiwa katika mji wa muscat sehem yeyote ongea kiswahili hutakosa mswahili,
duh Jk umeamua mpaka kupiga dili za kuwapa waarabu uraia wa tanzania sio hayaa...na sie huko tukitaka uarabu tutapewa? mheshimiwa rais unatuuza kwa waarabu mbele ya macho yetu na sie tunaangalia..
duh Jk umeamua mpaka kupiga dili za kuwapa waarabu uraia wa tanzania sio hayaa...na sie huko tukitaka uarabu tutapewa? mheshimiwa rais unatuuza kwa waarabu mbele ya macho yetu na sie tunaangalia..