BABA SANIAH
JF-Expert Member
- Oct 20, 2013
- 4,510
- 5,708
Wabapanga mokakati
Naona maji yamezidi unga, lazima uende kwa jirani kuomba ungaBaada ya kuisha ibada ya kuuaga mwili wa marehemu Samwel Sitta Rais mstaafu Jakaya Kikwete na Rais Magufuli wapanda gari pamoja na kuondoka
Mbona wakiwa mikoani mkuu wa mkoa anatoka kwenye gari lake anahamia kwenye gari la mhe rais, makamu wa rais, au mwaziri mkuu. Kama hamjui vitu kaeni kimya.ITIFAKI hairuhusu kabisaaa..
Swali gani hili?Hivi watu wawili wakitembea kwa kuongozana wameshikana mikono inaweza kuwa gumzo!? Na je inatofauti gani kuwa ndani ya gari moja au paa moja, sioni kama hili ni tatizo, wangeweza kujifunika mwavuli mmoja, labda hoja ingekuwa wamechangia kijiko wakati wa mlo
Yaan hata Mimi nimeshangaa sana hadi mtu unapata muda wa kuchangia post ya kipuuzi... Badala ya huo muda kutumia kuchanganua ni namna gani unaweza kufanya kujiongezea kipato ktk maendeleo yako na familia yako......Kweli wabongo sijui alie tuluga nani....yani mtu unakaa kupoteza mda kuandika na kupost upuuzi.....badala ya huo mda kutumia kuchanganua ni namna gani Unaweza kufanya kujiongezea kipato ktk maendeleo yako na familia yako....badala ya kukaria hayo majungu....
Kwani Obama alifanya nini kwa rais mstaaf clinton walipo toka kwenye mazishi israel????
'BIRDS OF THE FEATHER FLOCK TOGETHER'
Jk anapenda sana swagga...ebu atulie tumechoka maigizo yake
JK kaombwa akatoe somo la uongozi n jinsi gn ya kutoa ajira n mwisho kabisa ampige msasa wa kimombo maana juzi aliwadharirisha watanzania kwa kimombo cha hovyo kbs
Hujaitwa na mtu yeyote kusoma au kuchangia Uzi huu bali umejipendekeza mwenyewe. Ingefaa muda huo ulioutumia kupost hapa ukayafanya hayo unayowaambia watu wakayafanye.Kweli wabongo sijui alie tuluga nani....yani mtu unakaa kupoteza mda kuandika na kupost upuuzi.....badala ya huo mda kutumia kuchanganua ni namna gani Unaweza kufanya kujiongezea kipato ktk maendeleo yako na familia yako....badala ya kukaria hayo majungu....
wala usiumize kichwa ndugu - hao wote ni wale wale!Baada ya kuisha ibada ya kuuaga mwili wa marehemu Samwel Sitta Rais mstaafu Jakaya Kikwete na Rais Magufuli wapanda gari pamoja na kuondoka.
Itifaki inaruhusu?
Wewe unayeyaishi hayo unayoyaandika mbona hatukuoni kwenye Forbes kuwa na wewe ni miongoni mwa watu wenye fedha zaidi ya kutuonyesha your naked mind.Yaan hata Mimi nimeshangaa sana hadi mtu unapata muda wa kuchangia post ya kipuuzi... Badala ya huo muda kutumia kuchanganua ni namna gani unaweza kufanya kujiongezea kipato ktk maendeleo yako na familia yako......