Kikwete mpaka leo hajajua kuwa yeye ndio Rais wa Tanzania, anasubiri nini?

Ndugu Wananchi, Kiongozi kutoka kwa Mungu utamjua kwa kanuni ifuatayo: Husifia mema na kuadhibu mabaya. Kinyume cha hapo tambua ametoka kwa shetani. Mmenielewa??

SWALI: Huyu tuliye naye ametoka kwa nani?
 
Jakaya Mrisho Kikwete kuwa rais ni JANGA LA KITAIFA.Kweli watanzania tuna msiba mkubwa wa kuwa na JK kama rais.
 
Back
Top Bottom