Kikwete kushindwa kuja kutuaga mikoani kulikoni?

koryo

JF-Expert Member
Jun 21, 2010
639
276
Kuna tabia katika nchi yetu kila Mhe. Rais anapomaliza muda wake wa uongozi hutembelea Mikoa yote na kuwaaga wananchi kwa kuwatakia kila la kheri na uongozi mpya unaoingia madarakani. Safari hii imekuwa kinyume kabisa na sisi bado tuna hamu na Mhe. Rais kuja kutuaga huku Mikoani.

Tafadhali Mhe. Rais njoo utuage na tukupe zawadi mbalimbali.
 
Mi pia namshangaa huyo jamaa...amezunguka dunia akiaga....hapo tu ameshindwa
 
mda hautoshi,,,halafu wanga hamtaacha kulalama kama kawaida yenu kuwa anamfanyia kampeini magufuli,,,,amewaacha free,,mkipenda kuchagua msukule sawa,mkipenda kuchagua mchapakazi mtajijua wenyewe..
 
Subiri amalize kuaga nchi za Ulaya na Marekani, kama muda utaruhusu atakuja huko Mikoani.
 
Kuna tabia katika nchi yetu kila Mhe. Rais anapomaliza muda wake wa uongozi hutembelea Mikoa yote na kuwaaga wananchi kwa kuwatakia kila la kheri na uongozi mpya unaoingia madarakani. Safari hii imekuwa kinyume kabisa na sisi bado tuna hamu na Mhe. Rais kuja kutuaga huku Mikoani.

Tafadhali Mhe. Rais njoo utuage na tukupe zawadi mbalimbali.

Anaaga nchi za nje kuliko wananchi wake hii ni kwa Rais wa Tanzania.
 
Back
Top Bottom