Kikwete kupeleka Mbuzi wake kushindana Nane Nane

Duh! Wengine ndio tunajua sasa kwamba Rais aliongea huko Dodoma. Kutokana na hotuba zake kukosa mvuto wengi hatufuatilii.
 
hata angesema kitu kingine kiwe cha msingi au si cha msingi kamwe sijafikiria kama ungemuunga mkono mana kazi yako kuu wewe ni kuangalia makosa na wala hujawahi kusema mazuri,KILA PENYE GIZA HUWA MWANGA UNATANGULIA.Mna mawazo mafinyu kama LEMA.
<br />
<br />
Kumbe tupo wengi tuliogundua kuwa LEMA ana LOW THINKING CAPACITY!
 
Back
Top Bottom