Kikwete huyooo Australia......

Meanwhile, President Kikwete left the country on Monday evening for Perth, Australia where he will attend the Commonwealth Summit, scheduled for Friday through Sunday.

A State House statement said the president would attend an economic forum ahead of the summit, before joining other heads of state in a special meeting with businessmen. President Kikwete returns home on Tuesday, next week.

In another development, President Kikwete received letters of credentials from the Sudanese and Japanese ambassadors, Mr Yassir Mohamed Ali and Masaki Okada respectively...Daily news..

kama kawaida yake, hachelewi kupokea suit na kuahidi mazingira mazuri ya uwekezaji, huku taifa likibiwa kwa tax exmption, na migao ya kipumbavu ya 3% of totol income. mpuuzi tu
 
Mkutano ijumaa, yeye kaondoka Jumatatu.. Au anawahi bembea kama kawaida yake.
 
kama kawaida yake, hachelewi kupokea suit na kuahidi mazingira mazuri ya uwekezaji, huku taifa likibiwa kwa tax exmption, na migao ya kipumbavu ya 3% of totol income. mpuuzi tu

Umenena mkuu......
 
Mbona wabunge wa chadema wanazunguka nchi nzima, wanatumia muda gani kutembelea majimbo yao?
 
Anashindana na A.Y wampe data Hasheem Thabit za kuvuka boarder,ipo siku atagundua kisiwa chake huyu navigator
 
JK katuletee na kocha km brazil ulipomleta Maximo mana Australia hakuna hata wanamzuziki wa kupiga nao picha kama ambavyo huwa unafanya USA

Atuletee kocha wa RUGBY naona hii michezo ya kutumia akili kidogo kama football na basketball imetushinda. Labda huu wa kutumia nguvu nyingi zaidi ya akili unaweza kutufaa hapa kwetu. Ila sina uhakika sana na hili kwani hata ngumi na riadha ambavyo kwa kiasi kikubwa inategemea nguvu imetushinda.
 
huyu raisi wetu choko kweli..hivi hiyo bajeti anayotumia na msafara wake si inaweza kuchimba visima vingapi wananchi wakaondokana na shida ya maji..Ama kwli, sjui huko atakuja na nini chandarua ama, unatumia milioni mia kuuza sura halafu unafadhiliwa milioni hamsini, du kwl tunae msanii wa wasanii tz..JK tumekuchoka, mbona mwenzio mkapa hakua hivyo ana Nyerere hakuwa hivyo,,,,,,,,wakuu mtupe data za huyu jamaa na faida zake yeye kusafiri kama c ahadi za neti za futi nnne
 
Mbona wabunge wa chadema wanazunguka nchi nzima, wanatumia muda gani kutembelea majimbo yao?

Unadhani anasakamwa kwa safari lukuki za nje kwakua ni CCM? Huyu ni Rais wa watu zaidi ya milioni 40 matatizo mangapi tunayo ambayo yanategemea intervention yake kama mkuu wa nchi, anza na Ufisadi ambao kwa sehemu kubwa ndiyo chanzo cha matatizo mengi yanayotukabili..Wananchi wanapopiga kelele ni kwakuwa yeye kachaguliwa na watanzania na sio wawekezaji wala hiyo mikutano ya mara kwa mara anayohudhuria na anahitajika kwa zaidi ya asilimia 90 ya maisha ya Urais wake ayatumie kutatua kero zetu..Gharama za maisha zinapanda kila kukicha na dalili za kupungua hazionekani hii ni miongoni mwa mambo tunayotegemea ayashughulikie

Mdau mmoja kauliza hivi, asipokwenda kila mara kwenye hiyo mikutano tutapoteza nini?
 
mbona cjawah skia makam wake dr. bilal kamwakilisha kwenye kikao chochote nje ya nchi??????/ huyu jamaa mbinafsi
 
Back
Top Bottom