umeenda kufufua! We kibokoTujikumbushe
nimesoma post za uyu jamaa zilikua hatari sana ningependa kujua kama bado yuko hai.
Mtandao wote kwishnei chezea Magufuli wewe.
Sasa ivi ukileta hii mada utaskia"katumwa na jiwe"
People ziko backstage ww unasema kwishnei, rudi tu Bombey ukaimbe nach.... Tz huiwezMtandao wote kwishnei chezea Magufuli wewe.
Bado upo mkuu.ndio daily analia mniombee.akikaza wana press
mtafute jason bourne kabla hajawa compromised na yericko nyerere ambaye Chadema ilimmaliza kabisa.nimesoma post za uyu jamaa zilikua hatari sana ningependa kujua kama bado yuko hai.
Ni kwa nini mnaweweseka na Membe?Mtandao wote kwishnei chezea Magufuli wewe.
US imeona wewe ni shida kwa kuwa nchi ni kama inakushinda vile na haioni tena mvuto wako kwa wananchi na hii ni hatari kwa maslahi yao hasa mafuta ya Zanzibar ambayo imeshayalia timing kwa maana ya kwamba imeshirki kikamilifu kucheza "game'' ya Rostam-Jussa-Karume-Shein kwa haraka sana. Nimekwambia kwamba, Muungano waweza kuvunjwa na baada ya muda ukarudi tena nakuwa serikali moja. Jiulize ni kwanini Mwamunyange anakudharau kiasi hicho?. Hicho kiburi anakitoa wapi?. Mr President, usikurupuke, cheza karata vizuri!