MTAZAMO
JF-Expert Member
- Feb 8, 2011
- 19,643
- 33,427
Ukifikiri sana utaokota makopo kwakweli! Ninahakika hata haya machache ya kizalendo ni yale masalia ya Mwl Nyerere!Mtizamo, rais yupi?, aliyewekwa na nani?. Inteligensia ipi na maamuzi magumu yepi? kwa uwezo gani? kuinusuri niniiliyokwisha teketea?!.