jamani wana jf hivi inawezekana mgombea tena ngazi ya urais hajui sinza ipo jimbo gani ndani ya majimbo ya dsm?kikwete makazi yak yaani ikulu ipo dsm sasa inapotokea kwenye mkutano wa kampeni anawauliza wananchi eti sinza ipo jimbo gani anataka tumwelewe vp?kama hujui sinza ipo jimbo gani je utakuwa na taarifa na vijiji kama ihanja au makuru kule singidda?au ngoheranga na kilosa kwa mpepo huko ulanga?the guy is not serious is our time to dump him,lets unite our forces,pamoja tutashinda