Elections 2010 Kikwete hajui Sinza ipo jimbo gani

urasa

JF-Expert Member
Aug 12, 2010
434
2
jamani wana jf hivi inawezekana mgombea tena ngazi ya urais hajui sinza ipo jimbo gani ndani ya majimbo ya dsm?kikwete makazi yak yaani ikulu ipo dsm sasa inapotokea kwenye mkutano wa kampeni anawauliza wananchi eti sinza ipo jimbo gani anataka tumwelewe vp?kama hujui sinza ipo jimbo gani je utakuwa na taarifa na vijiji kama ihanja au makuru kule singidda?au ngoheranga na kilosa kwa mpepo huko ulanga?the guy is not serious is our time to dump him,lets unite our forces,pamoja tutashinda
 
Chukua za mbayuwayu changanya na zake utajua yeye ni nani na ni kilaza kiasi gani.
 
Ametangaza kuwa Hospitali ya Palestina Sinza kuwa ya Mkoa... Bila kujua ipo jimbo la uchaguzi la Ubungo au Kinondoni... Lol
 
Duh maombi ya waTZ yanamchanganya labda. Naamini kuna watu watakuwa wanapiga prayer makanisani, misikiti na homes kwa ajili ya umaski wetu.
 
Sijui Mungu aoneshe miujiza gani tena ili tuelewe Watanzania sisi, jamaa hafai hata uwaziri hakustahili!!
 
huyu raisi kwani hamjui kwamba ni kilaza anaongea na obama ana desa mkononi ati!!!!!!!!!!!!!!!tuna kazi wabongo
 
Kilazaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa huyoooooooooooooo tusimchagueeeeeeeeeeeeeeeeeee.
 
Now my former members of the forum u can conclude my sayin in one of my past comment about Mr Prez is dull upstairs te te te te te te teh
 
Ametangaza kuwa Hospitali ya Palestina Sinza kuwa ya Mkoa... Bila kujua ipo jimbo la uchaguzi la Ubungo au Kinondoni... Lol

Du ngoja nisicheke nisije nikazaliwa wajukuu mbumbumbu!! Haki ya nani, huyu mkwere ni jiniasi wa vilaza!!

 
hajui SINZA ilipo - ILA KUCHEKA CHEKA - DU!!! ANAJUA SAAAAAAAANA -

JEGRAFIA YA MKOA WA DSM = 0

Heeeeeeeeeeee haaaaaaaaaaaaaaaaaa !!!!!! ngoja tu nicheke manake NIKIENDELEA KUMTAFAKARI.....................i get :angry:
 
Ila huyu anamjua vizuri....Miss Sinza

sinza2.JPG
 
Mi nafikiri sababu ni kwamba jamaa zake wa karibu wamesusa kabisaaa kumpatia ushirikiano
 
kutokujua sinza iko wapi ni uthibitisho tosha kuwa huyu jamaa is not serious na ni mzigo hata kwa wana CCM wenzake, me nilishaona watu maziro brain lakini huyu ni balaa tupu.! It was a bda mistake ever for th history of this country. Mungu ibariki Tanzania Mungu ibariki Africa.!
 
Unaishi Mikocheni haujui Sinza iko wapi!!!!!!!! Haifai hata kumcheka mkimwona mtu mwenye matatizo ya akili Msimcheke.Mmesikiaeeeee???????
 
Anamdanganya nani pana nafasi gani pale hata aseme pana weza kutanuliwa pakafikia kuwa hospitali ya mkoa angesema wanayanq'anya kiwanja ilipokuwa Tanganyika packers na kupafanya hospitali ningemwelewa hata wafuasi wake waliona anawadanganya walibaki kukenua mimeno yake ahadi zake za uongo zinaendelea
 
Back
Top Bottom