Kikwete bingwa wa safari kuliko Marais wote duniani

Unajua kuna watu wengine ni washenzi sana tena sana wanamtetea kikwete ili iweje mi nafikili huyo ni mdada aliyefanya hivyo au mwanaume mbona mpuuzi hivyo,Nchi imemshinda huyo mpuuzi bado wajinga wenzake mnamtetea,mi naona mtu huyu si rahis wa Nchi hii bali ni MTALII, tuache kutetea upuuzi wakubwa.
 
Minafikiri huyu THATHA ni janga humu jamvini naye nafikiri anahakiri kama MR.PROMICE,au ndio walewale mafisadi wenzie
 
Kitabu cha GUINNESS kinamsubiri amalize kipindi chake cha utawala wamwingize rasmi kama rais aliyevunja record duniani kwa kusafiri nchi nyingi zaidi duniani. Pia usisahau kile kipindi cha Radio Free Africa cha" je wajua"!

Huyu atakuwa ashaingia mpaka sara, nadhani japo Nyerere alikaa madarakani kwa takribani miaka 25 hakufisha safari nyingi namna hiyo alizozifanya kwa miaka 6 tu
 
Waulize kwanza hao Freemedia ambao ni CHADEMA wakupe source ya hizo takwimu ndiyo ulete hapa wewe!

With no research, you have no right to speak!

Kama huwaamini basi nenda Habari Cooperation watakupa source. With no research, you have no right to speak too!
 
Rais wa mambo ya nje mtapewa fursa yakumchagua rais wa mambo ya ndani atakaeenda Ar, mbeya na kwingineko Tz kuwatatulia matatizo yenu
 
Moja ya ahadi zake alipokua anafungua bunge 2005 aliuliza inashangaza sana kuona mtumishi tena wa serikali baada ya kuchaguliwa muda mfupi tu anakua TAJIRI wa kutupwa anamiliki maYONTONG,MAJUMBA TENA MAGHOROFA,MAVOGUE na ARDHI YA WATANZANIA akasema wanancha lazima wahoji eti ndugu yetu hizi mali umezipataje? funny enough watoto wao hao vigogo hivi hizo mali wamezipataje mbona ni kufukuru...mbona huyu RAIS watoto wake ni MABILIONEA na hawaulizi zaidi maana hata watoto wake ni watumisha km wengine mbona watoto wa NYERERE hawakuwaibia wa TANZANIA kupitia kwa baba yao? RAIS ajifunza kutoka MISRI na LIBYA kwani watoto wao wote na mababa zao hizo mali zitawatokea puani....SAFARI NDIE RAIS ANAE ONGOZA AFRICA KM SIO DUNIA NZIMA..NA ZAIDI YA SAFARI NI MAREKANI AMBAPO NI MOJA MBILI TU NDO ZILIKUA ZA KISERIKALI KWANI ALIWEZA KUKUTANA NA OBAMA.......UKIPIGA GHARAMA ALIZOSAFIRI NA MISAFAR ANAYOENDA NAYO NA HIZO PER DIEM UTASIKITIKA NGUGU YANGU UNAEMTETEA........JANGA la KITAIFA (JK)
 
Kulingana na sampuli nasibu inavyoonyesha hapa chini, Rais wetu Jakaya Mrisho Kikwete (Mtoto wa Bagamoyo) ameibuka bingwa wa kusafiri mara nyingi kuliko Marais wenzake waliopo madarakani na wastaafu.
NoJINA LA RAISKIPINDI ALICHOTAWALAJUMLA YA SAFARI
KUANZIAHADI
1Baraka Obama2009201126
2Bill Clinton1993200175
3George Bush2001200974
4George H. W Bush1989199337
5Jacob Zuma2010201133
6Jakaya Mrisho Kikwete2005Jan 2012322
7Jimmy Carter1977198125
8Ronald Regan1981198926


Source:
Serikali ya JK hoi
Hebu tuwekee na jedwali la rais alievunja record kwa kuhudhuria mazishi/misiba barani Africa...nafikiri atakuwa yuko top of the list ........halafu mkiambiwa hii nchi maendeleo ni ndoto mnasema majungu sio mzalendo..hebu angalia hilo jedwali tuu!!!
 
Hili ni janga la kitaifa,
Hivi hamna njia yeyote tunaweza tuakaitumia kupunguza miaka yake ya kuongoza walau aishie tu mwezi wa sita mwaka huu tufanye uchaguzi!
 
Nadhani kuna haja ya kupokea ushauri kuliko kutumia madarakab uliyonayo vibaya. Nadhani atakuwa ameshauriwa lakini hakubali ushauri, ni bora akajua yeye siyo waziri wa mambo ya nje ba alipochagua mawaziri alikuwa anamananisha wamsaidie majukumu kama hayo.

Akienda waziri gharama yake ni tofauti na waziri. Nina mashaka wakati wa makabidhiano ya nchi pindi akimaliza nchi JK atakabidhi nchi ikiwa haina uwezo hata wa kulipa mishahara na majukumu mengine ya kiserikali.
 
Back
Top Bottom