Kikwete bingwa wa safari kuliko Marais wote duniani

TUMBIRI

JF-Expert Member
May 7, 2011
1,933
1,199
Kulingana na sampuli nasibu inavyoonyesha hapa chini, Rais wetu Jakaya Mrisho Kikwete (Mtoto wa Bagamoyo) ameibuka bingwa wa kusafiri mara nyingi kuliko Marais wenzake waliopo madarakani na wastaafu.
NoJINA LA RAISKIPINDI ALICHOTAWALAJUMLA YA SAFARI
KUANZIAHADI
1Baraka Obama2009201126
2Bill Clinton1993200175
3George Bush2001200974
4George H. W Bush1989199337
5Jacob Zuma2010201133
6Jakaya Mrisho Kikwete2005Jan 2012322
7Jimmy Carter1977198125
8Ronald Regan1981198926

Source:
Serikali ya JK hoi
 
Yule sio rais bali ni MFALME WA SAFARI. Nadhani anatafuta CV ya kuonyesha wajukuu wake kama mmoja wa watalii bora kabisa kuwahi kutokea duniani.
 
Kulingana na sampuli nasibu inavyoonyesha hapa chini, Rais wetu Jakaya Mrisho Kikwete (Mtoto wa Bagamoyo) ameibuka bingwa wa kusafiri mara nyingi kuliko Marais wenzake waliopo madarakani na wastaafu.
No
JINA LA RAIS
KIPINDI ALICHOTAWALA
JUMLA YA SAFARI
KUANZIA
HADI
1
Baraka Obama
2009
2011
26
2
Bill Clinton
1993
2001
75
3
George Bush
2001
2009
74
4
George H. W Bush
1989
1993
37
5
Jacob Zuma
2010
2011
33
6
Jakaya Mrisho Kikwete
2005
Jan 2012
322
7
Jimmy Carter
1977
1981
25
8
Ronald Regan
1981
1989
26

Source:
Serikali ya JK hoi

Tangu ujifunze na kujua kutumia programu ya word unajichorea majedwali upendavyo ili ususahau au vipi. weka chanzo cha takwimu zako. Mbona Rais wa Afrika uliye fanya Comparisons zako ni mmoja tu (ZUMA), Rais ambaye nchi yake inazidi hata nchi nyingine za ulaya kwa utajiri. Huna mpango endekelea kujifunza computer application programs, sasa waweza kujifunza EXCEL na nyingine. Halafu hiyo episode mbona mliitumia sana ili President aonekane hafai? wenzako walishaona haiwatoi wewe hauna niyingine au MBOWE hajakupa topic, manake mada nyingi humu JF mnapewa na Boss wenu.
President kafanya mengi sana kutokana na safari zake suburini amalize muda wake ndipo mtakapotoka uvunguni na kugundua alikuwa mchapa kazi sasa hivi hamuezi kuona kwa vile Mwana-Mazingambwe (SLAA ) kawapaka dawa usoni hamjui hata mnalolisema humu JF.
 
Anataka kuandika kitabu cha ugunduzi labda kuna vitu amevigundua. Jk bwana anafurahisha sana sijui wakati mimba yake inatungwa baba na mama yake walitumia staili gani
 
we umesema maraic wote hv nch zote umeweka hapo,acha ku2mia mawazo dhanifu badala yakinifu
 
Yani dunia nzima kuna maraisi hao 8 tuu? unalalamika sababu hujachukuliwa ukichukuliwa ungefunga mdomo wako...mwacheni asafiri labda ndio ilikua ahadi yake ndani ya nafsi yake atakapokua raisi atasafiri mpaka mchefukwe na roho sasa anaitimiza...
 
Hivi wewe umesoma Statistics au? Unajua maana ya Sampuli nasibu? Kwa taarifa yako hata kufanya sensa ya nchi ambayo inakuwa equiped na resources za kutosha, huwezi kuhesabu wananchi wote!
 
Huyo ndiye JMK aka ze magelan aka ze vasco da gama aka ze ibn batuta aka ze marco polo aka ze diaz aka mkono wa damu carl peters hadi amalize uprezidaa atakuwa kamaliza kutembelea dunia nzima. Nasikia mwaka huu anaziara ya kwenda Tajikistan kujifunza masuala ya uchimbaji gas!
 
Tangu ujifunze na kujua kutumia programu ya word unajichorea majedwali upendavyo ili ususahau au vipi. weka chanzo cha takwimu zako. Mbona Rais wa Afrika uliye fanya Comparisons zako ni mmoja tu (ZUMA), Rais ambaye nchi yake inazidi hata nchi nyingine za ulaya kwa utajiri. Huna mpango endekelea kujifunza computer application programs, sasa waweza kujifunza EXCEL na nyingine. Halafu hiyo episode mbona mliitumia sana ili President aonekane hafai? wenzako walishaona haiwatoi wewe hauna niyingine au MBOWE hajakupa topic, manake mada nyingi humu JF mnapewa na Boss wenu.
President kafanya mengi sana kutokana na safari zake suburini amalize muda wake ndipo mtakapotoka uvunguni na kugundua alikuwa mchapa kazi sasa hivi hamuezi kuona kwa vile Mwana-Mazingambwe (SLAA ) kawapaka dawa usoni hamjui hata mnalolisema humu JF.
Mbona unatokwa na Povu hivi kijana na kuongea hata yasiyokuwepo!!??wewe unaongelea uchapa kazi gani?? afu samahani we wa kike au wa kiume?mana kabla cjaanza kucriticize huo uchapakazi ambao ww umeuona. ni bora nijue wewe ni mwenzetu???mana uchapakazi ule mwngine mi cjui. inawezekana u r right. ila uchapa kazi kama rais wa nchi, ni upupu mtupu. Labda utueleze wewe mwenzetu mwenye mapenz na rais ni nn kimekusisimua ktk utawala wake.

Je nikutetea na kulinda wezi wa rasilimali za nchi??Ni kutumia kodi kwa safari 322??juzi tuliambiwa safari moja ni zaid ya 300,000,000 zidisha hapo. Je unafrahia mfumuko wa bei na kushuka kwa thaman ya fedha yetu??unafrahia uporaji wa ardhi unaoendelea??unafrahia uporaj wa madin anaousimamia, unafrahia giza, wafrahia jins wakulima wanavyonyonywa na kuwafanyia kaz wanao wakopesha pembejeo na walanguz wa mazao??wafrhia jins vyombo vya sheria vinavyofanya kaz kwa ubaguzi??wafrahia jins ndg zetu wanvyokufa kwa kukosa huduma za afya??wafrahia majengo ya shule za kata na kuzikwa kwa elimu??hivi wajua kwann unamsifia rais wa aina hii au wewe wafrahia tabasamu lake???Kabla hujawasilisha mada ya kumtetea Rais hebu jiulize maswal haya afu jiongeze.
 
uwe na adamu kwa kauli zako ndo chuki ya chachi imekufikisha hapo.Kwani ww wajua staili waliotumia wazazio?
Anataka kuandika kitabu cha ugunduzi labda kuna vitu amevigundua. Jk bwana anafurahisha sana sijui wakati mimba yake inatungwa baba na mama yake walitumia staili gani
 
Kitabu cha GUINNESS kinamsubiri amalize kipindi chake cha utawala wamwingize rasmi kama rais aliyevunja record duniani kwa kusafiri nchi nyingi zaidi duniani. Pia usisahau kile kipindi cha Radio Free Africa cha" je wajua"!
 
Namchukia sana huyu rais wa tume sio rais wangu,siwezi kua na rais kichwa maji kama huyu.
 
Kitabu cha GUINNESS kinamsubiri amalize kipindi chake cha utawala wamwingize rasmi kama rais aliyevunja record duniani kwa kusafiri nchi nyingi zaidi duniani. Pia usisahau kile kipindi cha Radio Free Africa cha" je wajua"!

Kumtetea bwana mkubwa kwa safari zake labda tu uwe kiakili aupo sawa la sivyo ni mmoja na wale wanaokula keki ya taifa wenyewe,lakini mwenzangu na mimi hizi safari too much!!!akitoka kwenye misiba anapanda ndege akirudi anakuja kupambana na gamba muda wa kazi hakuna!!mara safari tena,zingine anaunganisha juu kwa juu,kuna watu wanatetea kuwa lazima aende wakati huo huo utakuta nchi zingine zimewakilishwa na mawaziri wa mambo ya nje nadhani angejiunganishia wizara ya mambo ya nje naona membe anakula pesa ya bure.
 
Yule sio rais bali ni MFALME WA SAFARI. Nadhani anatafuta CV ya kuonyesha wajukuu wake kama mmoja wa watalii bora kabisa kuwahi kutokea duniani.

Tumsamehe tu maana kama vyote kashindwa hata kutalii nako ashindwe?
 
Tangu ujifunze na kujua kutumia programu ya word unajichorea majedwali upendavyo ili ususahau au vipi. weka chanzo cha takwimu zako. Mbona Rais wa Afrika uliye fanya Comparisons zako ni mmoja tu (ZUMA), Rais ambaye nchi yake inazidi hata nchi nyingine za ulaya kwa utajiri. Huna mpango endekelea kujifunza computer application programs, sasa waweza kujifunza EXCEL na nyingine. Halafu hiyo episode mbona mliitumia sana ili President aonekane hafai? wenzako walishaona haiwatoi wewe hauna niyingine au MBOWE hajakupa topic, manake mada nyingi humu JF mnapewa na Boss wenu.
President kafanya mengi sana kutokana na safari zake suburini amalize muda wake ndipo mtakapotoka uvunguni na kugundua alikuwa mchapa kazi sasa hivi hamuezi kuona kwa vile Mwana-Mazingambwe (SLAA ) kawapaka dawa usoni hamjui hata mnalolisema humu JF.

Hata wewe ni janga humu jamvini
 
Anataka kuandika kitabu cha ugunduzi labda kuna vitu amevigundua. Jk bwana anafurahisha sana sijui wakati mimba yake inatungwa baba na mama yake walitumia staili gani

Ha ha ha ha ha haaaa!
 
Yani dunia nzima kuna maraisi hao 8 tuu? unalalamika sababu hujachukuliwa ukichukuliwa ungefunga mdomo wako...mwacheni asafiri labda ndio ilikua ahadi yake ndani ya nafsi yake atakapokua raisi atasafiri mpaka mchefukwe na roho sasa anaitimiza...

Kama kuna anaekumbuka ahadi zake wakati wa kampeni atujuze labda na hii yakusafiri ilikuwepo maana kaitilia kipao mbele zaidi hata ya roho za watu
 
Back
Top Bottom