Watu walihudhuria mkutano wa JK katika jimbo la Mbulu leo 17/09/2010, walimzomea mgombea huyu baada ya kuanza kuisemea Chadema vibaya. Walianza kwa kupiga miluzi huku wakiondoka katika mkutano huo wakati JK akihutubia. Polisi walijitahitahidi kuzui watu lakini hawakufanikiwa.
Hali hiyo ni mwendelezo wa wa zomea zomea inayoikumba mikutano ya CCM katika jimbo hilo la Mbulu. Akiwa Haydom Mgombea wa ccm Philip Marmo alizomewa na kuachwa huku DC akiamuru polisi kuzuia watu waliohudhuria wasiondoke lakini ilishindikana.
Jamani tunaomba picha na video. Pia nawashauri wananchi watumie hata hizi simu za kichina kurekodi matukio kama haya. Mungu awabariki ndugu zetu Wairaque, Mungu ibariki Tanzania!
BTW nasikia hawa wambulu walihamia Tanzania karne zilizopita kutoka eneo linalojulikana kama Ethiopia - enzi hizo ilikuwa Abyssinia, the land of His Majesty Haile Selassie. Kama ni hivyo basi hao kweli ni maJah people na hawataki ujinga... RESPECT :smile-big:
Shauri yako. Endelea kutafuta chanzo cha habari huku treni imeshaondoka stesheni.Chanzo cha habari..>???
Shauri yako. Endelea kutafuta chanzo cha habari huku treni imeshaondoka stesheni.
Hahaha mimi sio kama wengine! naamni nimewatagulia kimawazo wafuasi wote wa chadema wa humu JF!.. kwani wengi wao ni waosha vivywa... wakishaona habari kam hii amabyo haina source wataanza kumdondoshea thanks nyingi . wakijipa moyo:becky:
namuombea huyu jamaa ashinde mwaka huu amegombea toka zamani arusha mjini mpaka mbulu ila kura zake zilikuwa hazitoshi. naamini mwaka huu atapeta kwani hata 2005 alishindwa kwa kura chache tuKwa kukuhakishia Marmo kuondoka Mbulu, wananchi wengi wana hasira naye kwani aliwambia hatawasipompigia kura atashinda, alisema hayo wakati wa kura za maoni, inasemakana Marmo alishindwa katika kura ya maoni na Ndg Lori lakini akafanya maarifa zake. Walikuwa wanamuunga mkono Lori (mshindwa) wameamua kumkampenia mgombea wa Chadema Ndg Mustapher Akonaay. Na juzi alipokuwa anazindua kampeni yake Mustapher alipata mapokezi makubwa ukilinganisha na Marmo.
Vile vile mijadala imeibuka katika maeneo mbalimbali kuwa mwaka huu Chadema wapewe nafasi kwani CCM na Marmo wamepewa muda wakutosha lakini hawakufanikiwa kuleta maendeleo.
Pia wairaque wanasema wenzao wa Karatu kama waliweza nao pia wanaweza kufanya mabadiliko ya uongozi ambao utaleta maendeleo.
Marmo hali yake ni mbaya kisiasa kwa vile Upepo wa Dr Slaa unavuma sana kiasi cha kuwavuta wengi katika maeneo ya Mbulu, kwani wengi wanamfahamu Dr Slaa vizuri.
Kitu kingine kinachomfanya Marmo kukosa mvuto wa kisiasa ni kwa vile amekaa kwenye nafasi hiyo muda mrefu ( miaka 25) Watu wanataka mabadiliko
Haina source ilifikaje hapa, source kwako ni Rai, mtanzania, Radio Uhuru, Makamba, H. Tambwe.
Njiwa plastik wewe. Kwa taarifa yako Jk anafikiria atafikaje Karatu, watu huku si waswahili kama nyie, kanga na lift inakufanya utoe kura; huku mtu hapakiwi kwenye gari.
Hahaha mimi sio kama wengine! naamni nimewatagulia kimawazo wafuasi wote wa chadema wa humu JF!.. kwani wengi wao ni waosha vivywa... wakishaona habari kam hii amabyo haina source wataanza kumdondoshea thanks nyingi . wakijipa moyo:becky:
Jamani tunaomba picha na video. Pia nawashauri wananchi watumie hata hizi simu za kichina kurekodi matukio kama haya. Mungu awabariki ndugu zetu Wairaque, Mungu ibariki Tanzania!
BTW nasikia hawa wambulu walihamia Tanzania karne zilizopita kutoka eneo linalojulikana kama Ethiopia - enzi hizo ilikuwa Abyssinia, the land of His Majesty Haile Selassie. Kama ni hivyo basi hao kweli ni maJah people na hawataki ujinga... RESPECT :smile-big:
...........Pia ndiye agent wa AL shahaab hapa nchini. (tetesi)[/B]
huchelewii...
........aisee ....aisee....
puuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu pu!
so njiwa una akili kuliko watu wote humu ....
aisee!
hata ilipoletwa ishu ya EPA ......ma geneous wenzako waliulizia ..source!...kalaghabagho!!..watu ni kanyaga twende!!!>>>>subiri kinana aje a confirm....atasema kwa utamaduni wa wa Iraque huwa wanashangilia kwa miruzi na mbinja!!..maana kinana ndie Mohamed al Sahaf wa Kikwete...
Asante kwa confirmation mkuu, ninajua watu wanajua jina Iraque inatokana na Iraq lakini haina uhusiano hawa ni waafrika wenzetu hawana asili ya kiarabu.SAFIIIIIIIIIIIIIIII..............
Wairaq kwa wtu wasiowafahmu wamulize Marehemu Mwl. Nyerere. hawaongeagi sana, hawana unafiki, wakikukataa hata ufanyaje ni bure, na wanazingatia ukweli, hawajali una nini, ukoje, JK mtu mdogo sana kwao, wairaq wakiamua ndio basi, na ni wakali, watakupiga ile mbaya ukileta ujinga, wakisema ONDOKA anza kujiandaa, ukichelewa umekwisha, Wairaq asili yao ni Abbyssinia ambayo sasa ni Ethiopia, wanamsimamo wa kufa mtu. Wakikukataa hawana unafiki watakuonyesha wazi, DR Slaa ni mfano, yeye ni Mwiraq, na si yeye ndiye mwenye msimamo mkali, wairaq wengi ni wkali balaa. Hoorayyy wairaq, HOORAYYYYY CHADEMA.
...........Pia ndiye agent wa AL shahaab hapa nchini. (tetesi)