Tume ya Katiba
JF-Expert Member
- Apr 6, 2012
- 4,896
- 1,862
Si amekuja baada ya kumvua ubunge rais wa Arusha. Alikuwa wapi siku zote?
Kwa hiyo una maana rais wa UKWELI "kamvua" ubunge rais wa makaratasi?

Si tulikuwa tunaambiwa humu kuwa Rais Kikwete anagopa kwenda Arusha imekuaje tena kaenda.
Ametikisa nini sioni kipya hapo
Si tulikuwa tunaambiwa humu kuwa Rais Kikwete anagopa kwenda Arusha imekuaje tena kaenda.
hapana, hii post iko kushoto mno. hivi kusalimiana na wahudumu wa hoteli na kuranda randa ndani ya fence ya AICC ndo kutikisa? labda kuna post hakuiweka lakini hizi zilizopo ni magumashi tu.
Katikisa nini?????
kaenda kuwashukuru wapiga kura .au sio?Si tulikuwa tunaambiwa humu kuwa Rais Kikwete anagopa kwenda Arusha imekuaje tena kaenda.
Si tulikuwa tunaambiwa humu kuwa Rais Kikwete anagopa kwenda Arusha imekuaje tena kaenda.
Si tulikuwa tunaambiwa humu kuwa Rais Kikwete anagopa kwenda Arusha imekuaje tena kaenda.
kaenda kuwashukuru wapiga kura .au sio?